Kujipendelea Muhimu

Kujipendelea Muhimu

...am in the same boat sweetheart,...yaani lililokuwa wazo zuri la Gaga limenitumbukia Nyongo!
Ni tuhuma nzito sana hizi kwa JF, hususan waliojumuika hiyo safari ya Mbugani.

1.1298284995.bus-trip-to-tanzania.jpg

...ngojea, usilale kwanza...
Huyo dada hapo niliquote vibaya sio lizzy kweli huyo
 
mi nimecheka na huyo aliekaa staili ya kutopitwa na mnyama lol
we gaga mgomvi unajua??????/lol
 
Yaaani kakaa stand by anataka hata mnyama mmoja akikatiza asimpite na yeye aone

Salaaaaale!

... ama sikujua nitacheka hivi! ...kumbe una visa sana wewe!
I wish tungefanya kweli hii Tour, ...Klorokwini, Aspirin na wewe safarini,
ingekuwa ni kucheka mfululizo...

Nice one!
 
leo ningesutwa leo naona haa haa haaaaaaaa lol

mj1 umeiona link hiyo????????????/
The Boss..................naomba nikaipumzishe nafsi yangu. Yatosha kwa leo.

Ninamshukuru MUNGU kuwa niliianza siku kwa furaha ya aina yake, ikatumbukia nyongo kwa habari ya Dinnah na JF Arusha ........but now my spirits are high. ..... anipendaye na kunithamini, amenitunuku. Thanx GOD, My Almighty GOD.
Mbarikiwe
 
LOL!...mnh,

ama Gaga umenichekesha sana usiku huu!...
dah,...huyo dada aliyesuka 'twende kilioni' ndio unamfananisha na Lizzy?
ama wewe, ha ha haaaa ha!!!
Jamani si Arusha? kwani ana nini?Mi najua wapo arusha, mhhh nisije sutwa mbu mie nakuchangamsha tu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
The Boss..................naomba nikaipumzishe nafsi yangu. Yatosha kwa leo.

Ninamshukuru MUNGU kuwa niliianza siku kwa furaha ya aina yake, ikatumbukia nyongo kwa habari ya Dinnah na JF Arusha ........but now my spirits are high. ..... anipendaye na kunithamini, amenitunuku. Thanx GOD, My Almighty GOD.
Mbarikiwe

"love is in the air...!" au wakusudia The Lord? he he...
The Boss halaumiki, (mjumbe hauwawi)...na ulale kwa amani ewe Mwj1...
 
The Boss..................naomba nikaipumzishe nafsi yangu. Yatosha kwa leo.

Ninamshukuru MUNGU kuwa niliianza siku kwa furaha ya aina yake, ikatumbukia nyongo kwa habari ya Dinnah na JF Arusha ........but now my spirits are high. ..... anipendaye na kunithamini, amenitunuku. Thanx GOD, My Almighty GOD.
Mbarikiwe
Mie pia kanisikitisha sana Dinnah, kaachwa vibaya sana, eti connection, mijitu ya vijijini utaijua tu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Jamani si Arusha? kwani ana nini?Mi najua wapo arusha, mhhh nisije sutwa mbu mie nakuchangamsha tu

...kwakweli umenichekesha sana, ubarikiwe sana. Nitalala kwa amani kwakweli.
Thanks the Boss, kama si wewe nisingecheka hivi leo!

Am out.
 
mi nimecheka na huyo aliekaa staili ya kutopitwa na mnyama lol
we gaga mgomvi unajua??????/lol
We si umeona kama wale wasafiri kwa mfano unaenda arusha utakuta mtu hataki kupitwa na kila kitu kinachoonekana kwenye kioo cha mbele, yaani kila saa anachungulia mbele huwa nachukiaaaa
 
The Boss..................naomba nikaipumzishe nafsi yangu. Yatosha kwa leo.

Ninamshukuru MUNGU kuwa niliianza siku kwa furaha ya aina yake, ikatumbukia nyongo kwa habari ya Dinnah na JF Arusha ........but now my spirits are high. ..... anipendaye na kunithamini, amenitunuku. Thanx GOD, My Almighty GOD.
Mbarikiwe

kabla hujalala natamani jua hiyo thread ya dinnah niipi?
ina nini?????
 
Amevunjwa moyo tatizo ukiingia humu unasoma majina kwanza ndio unafungua usiyemjua unambwaga haya kampe moyo maana ameomba apewe moyo
 
ha ha haaaa
umenishtukia ehh??????
nikiona Gaga tu ndo nasoma lol
 
Back
Top Bottom