Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,970
Huyo dada hapo niliquote vibaya sio lizzy kweli huyo...am in the same boat sweetheart,...yaani lililokuwa wazo zuri la Gaga limenitumbukia Nyongo!
Ni tuhuma nzito sana hizi kwa JF, hususan waliojumuika hiyo safari ya Mbugani.
![]()
...ngojea, usilale kwanza...