Maisha ya watu yanakuhusu nini? angalia mambo yako.Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.
Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.
Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.
Huu ni utumwa vilevile.
Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Hii mambo huwa inanihuzunisha sana hasa Ke ndio wanaoongoza kwa hii kitu sijui huwa inakuwa na maana gani yaani.Mi naonaga aibu nikiona mtu anajipost anaimba imba na anakosea hayo maneno sometimes, na ikiwa ndo mutu ya 30+ nahisi aibu kinyama sijui aibu ya nini wakati hainihusu...... Ila huwa nahisi aibu sana.
haina maana wala maadili. Kuna wengine wanapost wanakata viuno kbsaa, sasa sisi viuno vyako unatuonesha vya nini!?. Vitusaidie nini!??Mi naonaga aibu nikiona mtu anajipost anaimba imba na anakosea hayo maneno sometimes, na ikiwa ndo mutu ya 30+ nahisi aibu kinyama sijui aibu ya nini wakati hainihusu...... Ila huwa nahisi aibu sana.
Mbona makasiriko Mkuu ?Maisha ya watu yanakuhusu nini? angalia mambo yako.
Unamsema rafiki yangu mmoja hivi na ni mama mtu mzima, aibu naona mimi😀Mi naonaga aibu nikiona mtu anajipost anaimba imba na anakosea hayo maneno sometimes, na ikiwa ndo mutu ya 30+ nahisi aibu kinyama sijui aibu ya nini wakati hainihusu...... Ila huwa nahisi aibu sana.
Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.
Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.
Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.
Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Kuna baadhi ya watu wanatamani kupiga picha viungo vya ndani ya mwili kama kibofu, ovari na moyo ila wanashindwa kivipiga picha hatimaye wanaishi kuposti viongo vya nje kama makalio, kitumbua kitovu n.kMaisha ya watu yanakuhusu nini? angalia mambo yako.
Mi sina huzuni, ila aibu sometimes siangalii hiyo vid hadi mwisho make nahisi aibu utadhani ni mie ndo najiaibishaHii mambo huwa inanihuzunisha sana hasa Ke ndio wanaoongoza kwa hii kitu sijui huwa inakuwa na maana gani yaani.
Dah ntakutumia moja ya shoga angu yani..... Tena anasindikiza na maneno "mtanierewa" mama mamamaaa nyieUnamsema rafiki yangu mmoja hivi na ni mama mtu mzimq, aibu naona mimi😀
1. Kuwa mtumwa wa watu, bila kupata likes na comments unaona Bado siku haijaenda vzrii.Kuna athari gani kwani?