Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

Shanily

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
856
Reaction score
1,662
Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.

Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.

Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.

Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
 
Huu ni utumwa vilevile.
Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Maisha ya watu yanakuhusu nini? angalia mambo yako.
 
Mi naonaga aibu nikiona mtu anajipost anaimba imba na anakosea hayo maneno sometimes, na ikiwa ndo mutu ya 30+ nahisi aibu kinyama sijui aibu ya nini wakati hainihusu...... Ila huwa nahisi aibu sana.
Hii mambo huwa inanihuzunisha sana hasa Ke ndio wanaoongoza kwa hii kitu sijui huwa inakuwa na maana gani yaani.
 
Mi naonaga aibu nikiona mtu anajipost anaimba imba na anakosea hayo maneno sometimes, na ikiwa ndo mutu ya 30+ nahisi aibu kinyama sijui aibu ya nini wakati hainihusu...... Ila huwa nahisi aibu sana.
haina maana wala maadili. Kuna wengine wanapost wanakata viuno kbsaa, sasa sisi viuno vyako unatuonesha vya nini!?. Vitusaidie nini!??
 
Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.

Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.

Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.

Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.

Maisha ya watu yanakuhusu nini? angalia mambo yako.
Kuna baadhi ya watu wanatamani kupiga picha viungo vya ndani ya mwili kama kibofu, ovari na moyo ila wanashindwa kivipiga picha hatimaye wanaishi kuposti viongo vya nje kama makalio, kitumbua kitovu n.k
 
Back
Top Bottom