Kujitolea kufanya kazi katika kampuni mbalimbali za umeme, Dar es Salaam

Kujitolea kufanya kazi katika kampuni mbalimbali za umeme, Dar es Salaam

VMWare-Oracle

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2021
Posts
667
Reaction score
917
Habari wakuu.

Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering.

Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza kupata sehemu nikajiegeza kwa ajili ya kupata ujuzi nje ya workshops.

Sehemu iwe yoyote ile,ilimradi inahusu umeme.Na iwe ndani ya mipaka ya mkoa wa Dar es salaam.

Kuhusu barua ya maombi ninayo, cha msingi nipate sehemu ya kuipeleka na wakaipokea.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom