Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

Kwahiyo unakubaliana na mwanajeshi kushikishwa tope kwa mikono? Anyway! Wanajeshi wenyewe hawajielewi ndo maana walibebeshwa hata magunia ya korosho
Kabisa ikiwezekana wazamishwe kabisa kichwa ndicho kibaki
 
Nikwambie tu hilo tope mafunzoni unapiga mbizi nalo kabisa achilia mbali kulishika hivyo. Pia ukiona anafanya kazi kama hiyo elewa kuna posho ameandaliwa kwa ajili ya kazi hizo mbali na mshahara wake
 
Sasa wapi hapo katwezwa au kajitweza? Kushika tope tena mjeda? Hivi wewe kweli wewe ni mzima wa kichwa?
 
kuna wimbo jeshini unaimba jeshi si lelemama...Kwa upande wangu naona sio kila kitu lazima tujitie ujuaji sana.
Maybe apo alikuwa anaokoa mtu ndani ya mtaro
 
Kwahiyo hapo anaosha maiti?

Narudia tena, angekuwa mamako huyo ndio yumo humo kwenye tope ungeleta hii elimu yako ya uingereza?
Enzi za Nyerere kuna kipindupindu kilitokea na bahati mbaya kiliwakumba waislamu zaidi bila kujua chanzo kilikuwa ni maambukizi kutoka kwa waosha maiti, ungejua uoshaji unavyokuwa usingeniuliza swali.
Siku hizi hakuna sababu za kushika uchafu wakati glovu zipo kila sehemu tena kwa wingi, pamoja na madras inabidi ujiongeze mwenyewe acha ile mtu akivaa glovu mnasema anajifanya mzungu.
 
Nilichogundua wewe ni mpumbavu wa asili
 
Hakuna sehemu nimeandika unavua..

Mpaka hapo Moja bila! Kwani we ukilala Huwa unabana miguu muda wote braza? Ahahaha

Utani tu Mzee, neno Mbwa laweza kuonesha mtu mahiri mfano; yule jamaa ni Mbwa kwenye hesabu..anapiga hesabu vibaya sana yule Mbwa.

Mbwa ni symbol ya 'kipanga'
umeelewa wewe Kuku?
 
Umeanza vizuri kwa kutambua kama mwanajeshi yuko kwa ajili ya kupigania Taifa lake...na ndicho hicho anachofanya hapo.
Maelezo yako yangekuwa na mashika kama ungeonyesha huyu mwanajeshi amelalamika kwa hicho anachokifanya.
Je unajua wanachokifanya madaktari hospitalini?!
 
Kiki...
 
Je unajua wanachokifanya madaktari hospitalini?!
Mm mwenyewe daktari. Kwa taarifa yako tunavaa gloves na masks, tunatumia forceps, mikasi na incision blades. Haturuhusiwi kushika ama kuguswa na nyama, kinyesi na makahozi ya mgonjwa.


Mwanajeshi anapaswa kuipambania nchi yake lkn siyo kwa kuzoleshwa tope kwa mikono. Mnawadanganya kwamba huo ndiyo uzalendo mwisho wa siku wanaishia kuvuta mibange ili kujitoa ufahamu waweze kufanya kazi kijinga namna hii.
 
Kwani alilazimishwa? Vipi yule Kijana aliyekuwa kofua wazi na matope?

Wewe ni aina ya watu wapumbavu ambao wanaamini Wakiwa na kadigtii sijui shule hawatakiwi kufanya kazi ndio maana unaitwa kazi za kutweza utu.

Ulitaka afanye nani? Mjinga mkubwa
 
Wewe ni aina ya watu wapumbavu ambao wanaamini Wakiwa na kadigtii sijui shule hawatakiwi kufanya kazi ndio maana unaitwa kazi za kutweza utu.
Nani kakudanganya kwamba jeshi unajiunga ukiwa na degree? Itakuwa hujui chochote wewe unaendeshwa na mihemko.


Jeshi walio wengi ni maguvu plus mibange baaaaasi. Wenye elimu jeshini wanahitajika kwa idadi ndogo sana na huwezi kuwaona kwenye tope.
 
Nani kakudanganya kwamba jeshi unajiunga ukiwa na degree? Itakuwa hujui chochote wewe unaendeshwa na mihemko.


Jeshi walio wengi ni maguvu plus mibange baaaaasi. Wenye elimu jeshini wanahitajika kwa idadi ndogo sana na huwezi kuwaona kwenye tope.
Kwa hiyo hapo Kuna kazi ya kudhalilisha utu? Ulitaka nani aifanye?
 
Kwa hiyo hapo Kuna kazi ya kudhalilisha utu? Ulitaka nani aifanye?
Walipaswa kupewa vifaa wewe. Wauze hayo maV8 na magari ya polisi 270 mapya pamoja na magari ya washa washa wanunue zana na vifaa vya uokozi. Huelewi nn hapo??
 
Wanaogea lkn siyo ktk matukio kama haya ya Hanang. Mwanajeshi anapaswa kuoga hata kinyesi wakati wa vita. Siyo kuwabebesha korosho na kuwazolesha matope kwa mikono . Ni upuuzi.
Huyo hapo kuna kitu chini anakitafuta, sio kuzoa tope tu,

Na hatujui alikuwa anabeba nin? May be alikuwa anatoa mwili wa mtu, ulitaka lije grader ?
 
Una uhakika hapo hajavaa gloves ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…