Kabisa ikiwezekana wazamishwe kabisa kichwa ndicho kibakiKwahiyo unakubaliana na mwanajeshi kushikishwa tope kwa mikono? Anyway! Wanajeshi wenyewe hawajielewi ndo maana walibebeshwa hata magunia ya korosho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ikiwezekana wazamishwe kabisa kichwa ndicho kibakiKwahiyo unakubaliana na mwanajeshi kushikishwa tope kwa mikono? Anyway! Wanajeshi wenyewe hawajielewi ndo maana walibebeshwa hata magunia ya korosho
kuna wimbo jeshini unaimba jeshi si lelemama...Kwa upande wangu naona sio kila kitu lazima tujitie ujuaji sana.Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!
View attachment 2835681
Enzi za Nyerere kuna kipindupindu kilitokea na bahati mbaya kiliwakumba waislamu zaidi bila kujua chanzo kilikuwa ni maambukizi kutoka kwa waosha maiti, ungejua uoshaji unavyokuwa usingeniuliza swali.Kwahiyo hapo anaosha maiti?
Narudia tena, angekuwa mamako huyo ndio yumo humo kwenye tope ungeleta hii elimu yako ya uingereza?
Nilichogundua wewe ni mpumbavu wa asiliEnzi za Nyerere kuna kipindupindu kilitokea na bahati mbaya kiliwakumba waislamu zaidi bila kujua chanzo kilikuwa ni maambukizi kutoka kwa waosha maiti, ungejua uoshaji unavyokuwa usingeniuliza swali.
Siku hizi hakuna sababu za kushika uchafu wakati glovu zipo kila sehemu tena kwa wingi, pamoja na madras inabidi ujiongeze mwenyewe acha ile mtu akivaa glovu mnasema anajifanya mzungu.
Hata haya malalamiko mnatoa taarifa pia.Tungekuwa malalamiko tena? Siyo watoa taarifa?
Hakuna sehemu nimeandika unavua..Nakunukuu
"Vijana kazini hapo, we unaongea kwasababu uraiani, unavuna chupi unalala unatanua miguu basi.
Lakini ikizuka vita, ndo utajua hujui Mbwa wee!'
Kusema unavua chupi unalala unatanua miguu...
Wanaume sijui kama wanavaaga chupi sikuizi☺️😊
Pia kuita binadamu mwenzako Mbwa ni hayo tu ndugu...
All in all,
Peace & Love
✌️✌️✌️✌️
Umeanza vizuri kwa kutambua kama mwanajeshi yuko kwa ajili ya kupigania Taifa lake...na ndicho hicho anachofanya hapo.Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!
View attachment 2835681
Kiki...Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.

Mm mwenyewe daktari. Kwa taarifa yako tunavaa gloves na masks, tunatumia forceps, mikasi na incision blades. Haturuhusiwi kushika ama kuguswa na nyama, kinyesi na makahozi ya mgonjwa.Je unajua wanachokifanya madaktari hospitalini?!
Yaweza kuwa hata mibange inawapeleka puta.Kiki...
Kwani alilazimishwa? Vipi yule Kijana aliyekuwa kofua wazi na matope?Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!
View attachment 2835681
Nani kakudanganya kwamba jeshi unajiunga ukiwa na degree? Itakuwa hujui chochote wewe unaendeshwa na mihemko.Wewe ni aina ya watu wapumbavu ambao wanaamini Wakiwa na kadigtii sijui shule hawatakiwi kufanya kazi ndio maana unaitwa kazi za kutweza utu.
Kwa hiyo hapo Kuna kazi ya kudhalilisha utu? Ulitaka nani aifanye?Nani kakudanganya kwamba jeshi unajiunga ukiwa na degree? Itakuwa hujui chochote wewe unaendeshwa na mihemko.
Jeshi walio wengi ni maguvu plus mibange baaaaasi. Wenye elimu jeshini wanahitajika kwa idadi ndogo sana na huwezi kuwaona kwenye tope.
Walipaswa kupewa vifaa wewe. Wauze hayo maV8 na magari ya polisi 270 mapya pamoja na magari ya washa washa wanunue zana na vifaa vya uokozi. Huelewi nn hapo??Kwa hiyo hapo Kuna kazi ya kudhalilisha utu? Ulitaka nani aifanye?
Huyo hapo kuna kitu chini anakitafuta, sio kuzoa tope tu,Wanaogea lkn siyo ktk matukio kama haya ya Hanang. Mwanajeshi anapaswa kuoga hata kinyesi wakati wa vita. Siyo kuwabebesha korosho na kuwazolesha matope kwa mikono . Ni upuuzi.
Una uhakika hapo hajavaa gloves ?Enzi za Nyerere kuna kipindupindu kilitokea na bahati mbaya kiliwakumba waislamu zaidi bila kujua chanzo kilikuwa ni maambukizi kutoka kwa waosha maiti, ungejua uoshaji unavyokuwa usingeniuliza swali.