GE2025 Kujiuzulu kwa Polepole na maswali 7 yanayofikirisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025


Mbona umeacha mambo mengine makubwa aliyoyafanya?

1. Kuteka na kuua watu kutoka matukio 10 hadi 82.

2. Kupora na kuwagawia bandari kuu ya Taifa toka 0 hadi 1

3. Kupora na kuwagawia mbuga za wanyama, hifadhi za misitu toka 0 hadi 8.

4. Kupora na kuwagawia waarabu viwanja vya ndege toka 0 mpaka 1

5. Kupanga na kutekeleza majaribio ya kuua viongozi wa makanisa 0 mpaka 1
6. Kufuta makanisa kutoka 0 mpaka 1.

7. Kuua wagombea na wapenzi wa vyama vya upinzani wakati wa uchaguzi toka 0 mpaka 4.

Haya matukio yatamtambulisha huyu kiongozi vizazi na vizazi, kwa sababu karibia yote, yeye amekuwa mwanzilishi. Apewe sifa yake, uende ukapambe kwa maua mengi kutokana na ubunifu wake mkubwa kwa hayo yaliyoufurahisha moyo wako.
 
Mwamba anajua kucheza na wakati na hali...ila kashindwa kucheza na muda round hii😄 MNAFQI,MTAZAMA UPEPO, na alishajiongeza kwa kutambua HANA TENA NAFASI....R.I.P SLOW SLOW😁
 
Polepole huyu ni yule Saul wa zamani aliyesikia sauti " SAULI SAULI MBONA WANIUDHI?" Na sasa amekuwa Mtume Paulo wa kizazi hiki!
Hivi ujasiri huu aliofanya Polepole ni nani ndani ya CCM kizazi kilichopo anaweza ufanya?
Maneno aliyo yajenga katika barua ile kwa Rais ni maneno mazito sana tena ingekuwa kwenye Boxing tungesema Rais kapigwa jab ikasindikizwa na uppercut.
Kumjadili mambo ya wakati wa Magufuli ni kupoteza muda bure maana hata wakati huo hakuwa na authority ya ziada.
Kwanza nini kasema kilicho cha uongo katika barua yake? Inakuwaje mshindo apigwe mwingine mauno wakate watazamaji?
Mwacheni amjibu mwenyewe au anyamaze kukubaliana.
 
Pole pole ni mwakilishi wa sukuma gang ,haishangazi hata kidogo ,itabidi akangombee ubunge pla mkoani Lindi ili kumfurahisha mfalme .SHAME
 
Haya mambo yote ni ya kuunga unga
 
Ubarikiwe umetimiza wajibu wako, mwenye macho anaona, mwenye masikio anasikia, mwenye kujua kusoma anasoma. Huyu mama Rais wetu amefanya mambo makubwa sana kwa muda mfupi, matumaini yangu miaka 5 ijayo atafanya mambo makubwa zaidi. Polepole kwanza ni wale binadamu very arrogant, wanajiona wanajua kuliko binadamu wengine, pili ni mtu mbinafsi mwenye maslahi yake binafsi, vilevile ni mtu mlalamishi asiyeweza ku-appreciate anachofanya binadamu mwenzake ht km ni nzuri kiasi gani. Kumbuka Magu alimwokoteza kwenye vile vitaasisi vya kuikosoa serikali na walalamishi ktk kila kt ili wafurahishe mabwana zao kule Ulaya wapate mkate wao. Ndg nyoka ni nyoka tu, Rais Samia alikosea kuhangaika na kiumbe km Polepole alitakiwa kum-dump basi. Km ni vile vipindi vya mtandaoni serikali ingemtuliza tu kwa utaratibu unaoeleweka. Kingine Polepole yuko kwenye lile genge la kisukuma hawakutaka kabisa Samia awe Rais, baada ya kushindwa kuzuia hilo nafikiri walijipanga amalizie tu kipindi cha Magu na asigombee au akigombea asifanikiwe, sasa ameudhika sana kuona CCM kumpitisha Samia kuwa mgombea pekee wa CCM, na hiyo kujiuzulu ni uvumilivu ulimshinda. Kosa lilikuwa la Magufuli kuokoteza magarasha, Polepole hakuwa mwanaCCM km alivyo Dr. Bashiru Ally, Bashiru alikuwa CUF hiyo inajulikana. Chama kiongozi wake kimlee tangia akiwa mtoto huyo anajua misingi ya chama na hatatetereshwa na wimbi lolote. Huyu mwenezi wa sahivi Amos Makalla aliongoza kura maoni CCM mwaka 2020 jimbo la Mvomero Magu akamchukua mshindi wa 3 ila Makalla hatukumsikia akitetereka, maana makala alikuwa tangia chipukizi wa CCM, baadaye UVCCM. Viongozi wa CCM wawe na wivu na chama siyo kila mtu ni wa kumpa uongozi.
 
Polepole ameona amekaribia kufa hivyo hataki kuondoka na dhambi za kuua na kuteka alizoshiriki utawala uliopita, atulie na wenzake waendelee kuteka
 
Tukae chini tuseme ukweli samia hakuna kipya alicho fanya kuongezeka kwa bajeti kweny kilomo,afya na elimu hizi huongezeka mwaka ad mwaka tangu awamu zilizo pita yani ni vtu ambavyo ata raisi angekua bambo bado vingefanyika samia mnamsifia kwa vtu vya kijinga sanaa yani ata kupumua tu mnaona amefanya . imagine nmeon habari eti ame solve migogoro ya ardhi zaid ya 10k hii ni sifa kwa rahisi apa zilikua ni sifa za kupewa wizara ya ardhi tu.akimaliza kipind chake hakuna alicho acha legacy zaid ya kua rais wakwanza mwanamke basi.af kuongezeka kwa izo bajeti ni kwasababu ya kupanda thamani ya dollar ila angekua kweli anafanya kazi kwa mikopo alio chukua,mikataba alio ingia na tozo alizo anzisha nchi ingekua mbali sana
Mfano mzuri report ya CAG tozo 50% hazipo bado utasema anatumia pesa kutimiza miradi ya magu au kuna ufujaji mkubwa
 
Polepole ni masalia ya Mwendazake, hawezi kuona hiyo picha kubwa (big picture) uliyoiweka kwa vile Samia AMENG'ARA katika performance tofauti na matarajio ya Sukuma Gang waliotaka kumpora madaraka.
 
Hoja zako zote hazina uthibitisho ameonyesha ubinafsi gani pale?
Mbinafsi ni samia hajataka democracy ndani ya ccm kuhofia kushindwa
Mbinafsi samia hajataka kukosolewa mfano ukosoaji wa mpina
Mbinafsi samia ana kandamiza opposition bila sababu
Mbinafsi samia ameshindwa tendea kazi report ya CAG kisa inagusa watu wakubwa
 
Alichokifanya Polepole, nikwasababu yeye kaja hadharani lakini kilichotokea kuwapitisha Sa100 na Mngoni kabla ya wakati na kubadili Katiba ya Chama,wengi wanaugulia mioyoni tu,kuna siku yatasemwa..........kuna fukuto linaendelea
Hakuna lolote utamaduni wa CCM wanaCCM halisi wanaujua achana na hayo magarasa aliyoyaokoteza Magufuli.
 
We ni poyoyo tu, kila mwenye macho anaona mambo aliyoyafanya Rais Samia
 
Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…