GE2025 Kujiuzulu kwa Polepole na maswali 7 yanayofikirisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa mtu kama Mdude_Nyagali alikuwa na faida gani zaidi ya kutukana viongozi??
Kwahiyo hilo linafanya uongozi wa rais Samia kuwa na uhalali wa kuteka na kuuwa raia zake ambao hawana faida?
 
OCTOBA NI TIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

MAMA ANAFANYA KILA SEKTA YEYE TU
Ikiwa huko kwenye chama kwenyewe kajipitisha kwa hali ile kipi kinakufanya uone oktoba anahitaji tiki yako ili kuendelea kuwa rais?
 
Sawa kabisa twende site
 
Polepole amezidi kutoa mwanga watu wasipo elewa masuala ya nchi nao wafungue macho
 
Kwa hiyo wewe hutaki hospitali na shule unataka tu kuchagua viongozi? HUJIELEWI wewe ni mzoga tu
 
Kwa hiyo wewe hutaki hospitali na shule unataka tu kuchagua viongozi? HUJIELEWI wewe ni mzoga tu
Ni shule au ni vituo vya kufunzia utwana?
Najuwa uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, kwa hiyo huwezi kujuwa ninacholenga hapa.

Shule na hospitali zimejengwa miaka yote tokea tupate uhuru, cha ajabu hapo ni kipi?
Cha ajabu ni jinsi shule hizo zinavyotumika kuwaandaa waTanzania kuwa watumwa, badala ya kuwa watawala wa maisha yao.
Hizo hospitali unajuwa gharama wanazo takiwa wananchi kulipia ili kupata huduma?
 
Kwa hiyo mtumwa mmoja wapo ni wewe?? Umeshindwa kutumia elimu uliyoipata unamlilia nani hapa? Kama elimu haijakukomboa
 
Kwa hiyo mtumwa mmoja wapo ni wewe?? Umeshindwa kutumia elimu uliyoipata unamlilia nani hapa? Kama elimu haijakukomboa
Wewe ni mzoga tu, unanipotezea wakati.
Ukitaka, kuna siku tupange ligi.
Sasa unataka nimlilie Samia kama unavyofanya humu wewe; hiyo ndiyo elimu unayojivunia wewe?
 
Sio kweli
 
Safi III
 
Fulsa kwa wavizia teuzi ,mambo kama haya huwa wanaombea sana yatokee ili wajifanye watetezi kwa faida zao binafsi
 
Bado hujaelewa kwanini Polepole kajiuzulu. Umejiandaa kujibu kuliko kuelewa.

nenda kasome upya barua ya polepole with intent to understand not to reply .
 
Bado hujaelewa kwanini Polepole kajiuzulu. Umejiandaa kujibu kuliko kuelewa.

nenda kasome upya barua ya polepole with intent to understand not to reply .
Huwezi kujibu kama hujaelewa
 
Wewe ni mzoga tu, unanipotezea wakati.
Ukitaka, kuna siku tupange ligi.
Sasa unataka nimlilie Samia kama unavyofanya humu wewe; hiyo ndiyo elimu unayojivunia wewe?
Wewe endelea kumlilia Lissu
 
Mwanzo umeanza vizuri kabisa lakin katikati hapo na mwishoni umejidhihirisha kuwa hata wewe ni chawa kama alivyokuwa polepole yule wa zamani....

Ukibadilika tutakusamehe na kukuunga mkono kama ambavyo tumemsamehe mwenzio na kumuunga mkono hivi sasa.

Watu wanabadilika, Mungu anasemehe na ndio maana aliweka msamaha hata wewe ni vingi sana unakosea anakusamehe na binadamu wenzio tunakusamehe pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…