Jay master
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 716
- 804
hakuna mwenye muda mchafu wa kumtaja huyo mungu wenuUkweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea.
Hayati JPM katika utumishi wake wa umma zaidi ya miaka 25 alipigania maendeleo ya barabara hapa nchini.
Kila mtanzania ni shahidi juu hili na hivyo ni vyema historia kuwekwa wazi ili mchango wa hayati JPM kwenye ujenzi wa miundo mbinu ukajulikana kwa vizazi vinavyokuja.
Ikumbukwe hayati JPM alitoa ahadi kuwa watanzania mtapanda taxii kutoka Mtwara mpaka Mtukura na kweli ikatokea. Na alipoanza kupigania maendeleo ya barabara hapa nchini kwetu hali ya barabara ilikuwa mbaya sana.