Na hutaweza kumiliki gari, wewe ni saizi ya bodaboda tu.Nakuunga mkono 100%
Mimi kukosa Baba Angu kunichukia Basi naamin ningekuwa mwanakijij saizi , Dingi alikuwa hapatani na Mimi ikapelekea kunifukuza home kwa Nguvu za police , ilichukua muda Sana kuamini katika maisha ya kupanga , ila nilifanikiwa kuingia town nakuanza maisha ya kupanga , taratibu nikaanza kujitafuta mpaka sasa Namshukuru Mungu , kitu ambacho bado sijamiliki ukiondoa nyumba , viwanja ,mashamba , pkpk baskeli Basi NI gari Tu ndo nalitafuta soon nitaendesha ndinga na family [emoji120]
Kama unatoka vijiji vya mikoa ya singida, dodoma, tabora, lindi, mtwara, kigoma na vya mikoa inayofanana na hiyo ni bora ukae mjini.Uwii mkinikuta huko mpige simu polisi unaweza Kuta nimetekwa!Kijijini kukaa pasizidi siku Tano,utaanza kupaukaa๐
Kama unatoka vijiji vya mikoa ya singida, dodoma, tabora, lindi, mtwara, kigoma na vya mikoa inayofanana na hiyo ni bora ukae mjini.Uwii mkinikuta huko mpige simu polisi unaweza Kuta nimetekwa!Kijijini kukaa pasizidi siku Tano,utaanza kupaukaa๐
Ungemuongezea na suruali iliyochanwa kwenye mapajaVijana wanalima wanapiga pesa kijijini na wanajenga wananunua ndamA wanawaboresha ukikaa mjini bila mtaji au kazi utaishia kuvaa na kumiliki simu
Mlongo jamanii, mbona mie sipaukii? Natimiza mwaka kijijini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwii mkinikuta huko mpige simu polisi unaweza Kuta nimetekwa!Kijijini kukaa pasizidi siku Tano,utaanza kupaukaa[emoji16]
Unafanya nini uko Peramiho Sasa mlongo?umepata kazi misheni๐คฃ๐คฃ๐คฃ?Mlongo jamanii, mbona mie sipaukii? Natimiza mwaka kijijini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliona Marangu mpaka Rombo,ila nikambiwa nikienda machame ndio nitashangaa zaidi!ni kweli hapa siku ishii ila naona mzunguko wa pesa utakuwa mdogo kule maana watu hamna kabisa pako kimyaaa kama Kuna ukiwa hivi๐คKama unatoka vijiji vya mikoa ya singida, dodoma, tabora, lindi, mtwara, kigoma na vya mikoa inayofanana na hiyo ni bora ukae mjini.
Ukija moshi huku utafikiri uko USA au ulaya. Kila kiti kipo: maji, umeme, mtandao wa simu. Bar, etc
Yaani msipomsifia mzungu hamsikii Raha,yaani kaondoka Africa ila bado anatawala ubongo wa MwafricaUnakuta hapo mjini umeajiriwa ,tena umepanga mshahara unapata laki 7.
Hata wazungu wanajenga porini huko mbali na mji, kama pesa kokote kuna uhusiano wa kutegemeana kati ya mjini na kijijini hapo Dar nionyeshe shamba la Mpunga?
Unafikria kila mtu akae kariakoo hapo kuwa dalali ,hayo mazao na chakula atalima nan?
Acha ujinga siku ukifa ndio utajua wewe wa mjini au bush kwenu.
Huku uchagani kuna watu kipind cha ndizi wanapiga mshindo mpaka million 100 ,huyo ni mtu mmoja .Niliona Marangu mpaka Rombo,ila nikambiwa nikienda machame ndio nitashangaa zaidi!ni kweli hapa siku ishii ila naona mzunguko wa pesa utakuwa mdogo kule maana watu hamna kabisa pako kimyaaa kama Kuna ukiwa hivi๐ค
Huku uchagani kuna watu kipind cha ndizi wanapiga mshindo mpaka million 100 ,huyo ni mtu mmoja .
Anaisha kijijini fresh ila pesa ndefu anakamata uhakika ,kila msimu wa ndizi
Huku kusini nilipo sasa watu wanapiga pesa za ufuta ,hapa nangoja mwezi wa 5 &6 niingie mzigoni ..Upo sahihi Sana watz wanaongozwa na hisia
MTU unapata mil 1 Una watoto unafikiri utatoboa lini
Kazi zote ambazo zina kipato kidogo ilibidi MTU azifanyie kijijini ambako atapata access ya basic needs kwa low Price.
Mfano MTU anaishi paycheck to paycheck life au hand to mouth life.
Nimecheka eti watamfokea๐๐Basi Leo wanakijiji mtamfokea mleta mada๐๐๐๐๐๐๐ila na Mimi naunga mkono hoja kukaa Kijijini aiseee HAPANA....Kuna upweke sana๐
Kijiji kip?Basi Leo wanakijiji mtamfokea mleta mada๐๐๐๐๐๐๐ila na Mimi naunga mkono hoja kukaa Kijijini aiseee HAPANA....Kuna upweke sana๐