Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

Nakuunga mkono 100%
Mimi kukosa Baba Angu kunichukia Basi naamin ningekuwa mwanakijij saizi , Dingi alikuwa hapatani na Mimi ikapelekea kunifukuza home kwa Nguvu za police , ilichukua muda Sana kuamini katika maisha ya kupanga , ila nilifanikiwa kuingia town nakuanza maisha ya kupanga , taratibu nikaanza kujitafuta mpaka sasa Namshukuru Mungu , kitu ambacho bado sijamiliki ukiondoa nyumba , viwanja ,mashamba , pkpk baskeli Basi NI gari Tu ndo nalitafuta soon nitaendesha ndinga na family [emoji120]
Na hutaweza kumiliki gari, wewe ni saizi ya bodaboda tu.
 
Uwii mkinikuta huko mpige simu polisi unaweza Kuta nimetekwa!Kijijini kukaa pasizidi siku Tano,utaanza kupaukaa😁
Kama unatoka vijiji vya mikoa ya singida, dodoma, tabora, lindi, mtwara, kigoma na vya mikoa inayofanana na hiyo ni bora ukae mjini.
Ukija moshi huku utafikiri uko USA au ulaya. Kila kiti kipo: maji, umeme, mtandao wa simu. Bar, etc
 
Unakuta hapo mjini umeajiriwa ,tena umepanga mshahara unapata laki 7.

Hata wazungu wanajenga porini huko mbali na mji, kama pesa kokote kuna uhusiano wa kutegemeana kati ya mjini na kijijini hapo Dar nionyeshe shamba la Mpunga?
Unafikria kila mtu akae kariakoo hapo kuwa dalali ,hayo mazao na chakula atalima nan?

Acha ujinga siku ukifa ndio utajua wewe wa mjini au bush kwenu.
 
Niliona Marangu mpaka Rombo,ila nikambiwa nikienda machame ndio nitashangaa zaidi!ni kweli hapa siku ishii ila naona mzunguko wa pesa utakuwa mdogo kule maana watu hamna kabisa pako kimyaaa kama Kuna ukiwa hivi🤔
 
Yaani msipomsifia mzungu hamsikii Raha,yaani kaondoka Africa ila bado anatawala ubongo wa Mwafrica
 
Upo sahihi kwa 50% na haupo sahihi 50%

Ukiwa kijijini unaweza Kutoboa endapo ukiamua kwenda kinyume na mazoea

Pia ukiwa mjini Unaweza kutoboa ikiwa pia utaenda kinyume na mazoea.

Kitu kuwa kibaya au kizuri kwa watu wengine haimaniishi pia ni kibaya au kizuri. Kwako.

Lazima unapofanya maamuzi ya kukaa kijijini uangalia faida na hasara zake na ukifanya maamuzi ya kuishi mjini lazima uangalie faida na hasara pia.

Mtazamo wangu Kama unaishi Tanzania jithadi uishi maeneo yenye huduma zote za msingi Kama shule, Afya, maji, umeme, Internet n.k.
 
Niliona Marangu mpaka Rombo,ila nikambiwa nikienda machame ndio nitashangaa zaidi!ni kweli hapa siku ishii ila naona mzunguko wa pesa utakuwa mdogo kule maana watu hamna kabisa pako kimyaaa kama Kuna ukiwa hivi🤔
Huku uchagani kuna watu kipind cha ndizi wanapiga mshindo mpaka million 100 ,huyo ni mtu mmoja .

Anaisha kijijini fresh ila pesa ndefu anakamata uhakika ,kila msimu wa ndizi
 
Huku uchagani kuna watu kipind cha ndizi wanapiga mshindo mpaka million 100 ,huyo ni mtu mmoja .

Anaisha kijijini fresh ila pesa ndefu anakamata uhakika ,kila msimu wa ndizi

Upo sahihi Sana watz wanaongozwa na hisia

MTU unapata mil 1 Una watoto unafikiri utatoboa lini

Kazi zote ambazo zina kipato kidogo ilibidi MTU azifanyie kijijini ambako atapata access ya basic needs kwa low Price.

Mfano MTU anaishi paycheck to paycheck life au hand to mouth life.
 
Huku kusini nilipo sasa watu wanapiga pesa za ufuta ,hapa nangoja mwezi wa 5 &6 niingie mzigoni ..

Madogo wanatembea pesa nyingi sana ,watu wanacheza na msimu tu.
 
Unasema kweli mkuu. Mimi tangu nimalize chuo nimekaa kijijini miaka mitano, kukaa huku ni kupoteza muda na nguvu. Japo kwa miaka hii nimepata kamtaji lazima mwaka huu nitimkie town. Kijijin watu wanalogana na kukwamishana sana. Pia wanalizika mapema sana, kijana ananunua ngombe mbili au tano anaanza kutamba amefanikiwa, hzo ngombe tano zimemchukua miaka minne na zaidi kuzinunua.
Nikweli pia watu wanalima sana, hapa nilipo kuna jamaa wanne vijana wanalima mpunga hawakosi gunia mia kila mwaka, niwachache hao na wanamashamba mengi, kulima ekari kumi kuna hitaji gharama kubwa kuanzia kukodi, kulima mpaka kuvuna. Watu wengi hawana mashamba. Kingine watu kijijin wanajadiliana sana. Mi naona bora kukaa mjini halaf tafuta mashamba kijijin lima, muda wa kilimo piga kilomo kijijin kaa mjini.
 
Basi Leo wanakijiji mtamfokea mleta mada😁😁😁😁😁😁😁ila na Mimi naunga mkono hoja kukaa Kijijini aiseee HAPANA....Kuna upweke sana🙄
Nimecheka eti watamfokea😁😁
 
Siyo kweli,kukaa kujijini ukijipanga utaishi vzr tu sawa na upo mjini

Ova
 
Back
Top Bottom