Nakuunga mkono 100%
Mimi kukosa Baba Angu kunichukia Basi naamin ningekuwa mwanakijij saizi , Dingi alikuwa hapatani na Mimi ikapelekea kunifukuza home kwa Nguvu za police , ilichukua muda Sana kuamini katika maisha ya kupanga , ila nilifanikiwa kuingia town nakuanza maisha ya kupanga , taratibu nikaanza kujitafuta mpaka sasa Namshukuru Mungu , kitu ambacho bado sijamiliki ukiondoa nyumba , viwanja ,mashamba , pkpk baskeli Basi NI gari Tu ndo nalitafuta soon nitaendesha ndinga na family [emoji120]