Kukaa kimya kwa Mbowe hakumsaidii chochote, zaidi ya kumtambulisha ni mtu wa kununa

Nsumba-ntale

Member
Joined
May 24, 2026
Posts
15
Reaction score
80
Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda

Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa

Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?

Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari

2026
 
Aonekana msaliti mala ngapi ?
 
Sasa unataka mbowe aongelee chama kama nani?!
Si alishastaafu?

Au Chadema walilalamika kuwa Hawaii ushirikiano pale wanapomwitaji?!
 
Ukweli ni kuwa awali Mbowe hakutaka kugombea tena lakini alishinikizwa na Samia ili wamdhibiti Lissu na kutokana ushirika wa siri aliokuwa nao na Samia alishindwa kumkatalia kwani aliahidiwa majibo 40 ya uchaguzi na marupurupu mengi tu. Na alipewa msaada mkubwa tu wa fedha na nguvu kazi ili ashinde, na aliahidi akishinda angemfukuza Lissu na kundi lake la watu aliowaita watukutu. Baada ya kushindwa kwa vile alishaahidi kuwafukuza Lissu na wenzanke ikabidi ajitenge yeye kwani asingeweza kufanya kazi tena na watu ambao alinuia kiwafukuza ndani ya chama. Hivyo siyo ukimya tu lakini ukweli Mbowe hayupo tena Chadema na hata maneno ya hovyo yanayoandikwa na wapambe wake wakiongozwa na Yericko Nyerere ni ushahidi tosha kuwa ameshajiondoa Chadema.
1000046826.jpg
 
Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda

Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa

Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?

Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari

2026
Ni heri aendelee kujikausha hivyo hivyo,kwa sababu chochote atakachofanya tutaona ni usanii tu kama kawaida yake!
 
Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda

Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa

Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?

Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari

2026
kiongozi mwenye hekima anapomaliza muda wake wa uongozi, hukaa pembeni na kuwaachia wengine waendeleze kwa mipango yao pale alipoishia.

Kujieleza au kuongea ongea kwa mtu ambae amamaliza kazi ya uongozi wake hutafsriwa kama ni kuwashwawashwa 🐒
 
Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda

Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa

Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?

Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari

2026
FAM anatetewa na ccm sasa..hatar sana
 
Unataka anzishe maandamano?
 
Kati ya VIONGOZI wajinga na walafi wa Madaraka ni huyu Mbowe ..... Mbowe ameipoteza cdm na hakuwa kuwa na MSAADA kwenye harakati za ukombozi zaidi ya kushirikiana na ccm ....matako yake.
 
Ukweli ni kuwa awali Mbowe hakutaka kugombea tena lakini alishinikizwa na Samia ili wamdhibiti Lissu na kutokana ushirika wa siri aliokuwa nao na Samia alishindwa kumkatalia kwani aliahidiwa majibo 40 ya uchaguzi na marupurupu mengi tu. Na alipewa msaada mkubwa tu wa fedha na nguvu kazi ili ashinde, na aliahidi akishinda angemfukuza Lissu na kundi lake la watu aliowaita watukutu. Baada ya kushindwa kwa vile alishaahidi kuwafukuza Lissu na wenzanke ikabidi ajitenge yeye kwani asingeweza kufanya kazi tena na watu ambao alinuia kiwafukuza ndani ya chama. Hivyo siyo ukimya tu lakini ukweli Mbowe hayupo tena Chadema na hata maneno ya hovyo yanayoandikwa na wapambe wake wakiongozwa na Yericko Nyerere ni ushahidi tosha kuwa ameshajiondoa Chadema.View attachment 3598529
Yaani nyie malafa ndo maana Samia anawapatia dole la kati tu wangese wakubwa. Mna viuzushi vya kifalafalaaa!!
 
Mrija ukikatwa mtu Unachekaje kwa mfano.!

Me naungana na Gubu lake anune mpaka uso uwe kama kalio la mama mpika vitumbua.!
 
Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda

Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa

Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?

Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari

2026
Mbowe ni mfanyabiashara na hajiusishi tena na "active politics" za CDM zaidi ya kuwa ni mshauri tu. Nii lazima aheshimike kama Mwenyekiti Taira mstaafu wa chama aliyejitolea muda wake na rasilimali zake nyingi katika kukijenga chama hiki mpaka hapa kilipofikia hii leo.
 
Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda

Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa

Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?

Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari

2026
Muache apumzike!
 
Ukweli ni kuwa awali Mbowe hakutaka kugombea tena lakini alishinikizwa na Samia ili wamdhibiti Lissu na kutokana ushirika wa siri aliokuwa nao na Samia alishindwa kumkatalia kwani aliahidiwa majibo 40 ya uchaguzi na marupurupu mengi tu. Na alipewa msaada mkubwa tu wa fedha na nguvu kazi ili ashinde, na aliahidi akishinda angemfukuza Lissu na kundi lake la watu aliowaita watukutu. Baada ya kushindwa kwa vile alishaahidi kuwafukuza Lissu na wenzanke ikabidi ajitenge yeye kwani asingeweza kufanya kazi tena na watu ambao alinuia kiwafukuza ndani ya chama. Hivyo siyo ukimya tu lakini ukweli Mbowe hayupo tena Chadema na hata maneno ya hovyo yanayoandikwa na wapambe wake wakiongozwa na Yericko Nyerere ni ushahidi tosha kuwa ameshajiondoa Chadema.View attachment 3598529
Chai
 
Alituchelewesha sana
 
Attachments

  • 6116522-aabc75298dac434d40d940b38d5337aa.mp4
    3.1 MB
Back
Top Bottom