Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?
Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
2026