Nsumba-ntale
Member
- May 24, 2026
- 15
- 80
Aonekana msaliti mala ngapi ?Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?
Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
2026
Ni heri aendelee kujikausha hivyo hivyo,kwa sababu chochote atakachofanya tutaona ni usanii tu kama kawaida yake!Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?
Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
2026
kiongozi mwenye hekima anapomaliza muda wake wa uongozi, hukaa pembeni na kuwaachia wengine waendeleze kwa mipango yao pale alipoishia.Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?
Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
2026
FAM anatetewa na ccm sasa..hatar sanaMwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?
Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
2026
Unataka anzishe maandamano?Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?
Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
2026
Yaani nyie malafa ndo maana Samia anawapatia dole la kati tu wangese wakubwa. Mna viuzushi vya kifalafalaaa!!Ukweli ni kuwa awali Mbowe hakutaka kugombea tena lakini alishinikizwa na Samia ili wamdhibiti Lissu na kutokana ushirika wa siri aliokuwa nao na Samia alishindwa kumkatalia kwani aliahidiwa majibo 40 ya uchaguzi na marupurupu mengi tu. Na alipewa msaada mkubwa tu wa fedha na nguvu kazi ili ashinde, na aliahidi akishinda angemfukuza Lissu na kundi lake la watu aliowaita watukutu. Baada ya kushindwa kwa vile alishaahidi kuwafukuza Lissu na wenzanke ikabidi ajitenge yeye kwani asingeweza kufanya kazi tena na watu ambao alinuia kiwafukuza ndani ya chama. Hivyo siyo ukimya tu lakini ukweli Mbowe hayupo tena Chadema na hata maneno ya hovyo yanayoandikwa na wapambe wake wakiongozwa na Yericko Nyerere ni ushahidi tosha kuwa ameshajiondoa Chadema.View attachment 3598529
Mbowe ni mfanyabiashara na hajiusishi tena na "active politics" za CDM zaidi ya kuwa ni mshauri tu. Nii lazima aheshimike kama Mwenyekiti Taira mstaafu wa chama aliyejitolea muda wake na rasilimali zake nyingi katika kukijenga chama hiki mpaka hapa kilipofikia hii leo.Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?
Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
2026
Nilitaka niulize piaAonekana msaliti mala ngapi ?
Muache apumzike!Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?
Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
2026
ChaiUkweli ni kuwa awali Mbowe hakutaka kugombea tena lakini alishinikizwa na Samia ili wamdhibiti Lissu na kutokana ushirika wa siri aliokuwa nao na Samia alishindwa kumkatalia kwani aliahidiwa majibo 40 ya uchaguzi na marupurupu mengi tu. Na alipewa msaada mkubwa tu wa fedha na nguvu kazi ili ashinde, na aliahidi akishinda angemfukuza Lissu na kundi lake la watu aliowaita watukutu. Baada ya kushindwa kwa vile alishaahidi kuwafukuza Lissu na wenzanke ikabidi ajitenge yeye kwani asingeweza kufanya kazi tena na watu ambao alinuia kiwafukuza ndani ya chama. Hivyo siyo ukimya tu lakini ukweli Mbowe hayupo tena Chadema na hata maneno ya hovyo yanayoandikwa na wapambe wake wakiongozwa na Yericko Nyerere ni ushahidi tosha kuwa ameshajiondoa Chadema.View attachment 3598529
Ila mwisho wa usariti huwa mmbaya sana, anaweza hisi yupo safe ila kumbe analika ndani kidogo kidogoNilitaka niulize pia