Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 1,343
- 1,679
Table manner haziruhusu mtu kuongea akiwa na chakula mdomon...Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?
Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
2026
Sawa, wewe lete whiskyChai
Kukijenga chama sio hoja,hoja ni alikuwa anakijenga kwa lengo gani?Mbowe ni mfanyabiashara na hajiusishi tena na "active politics" za CDM zaidi ya kuwa ni mshauri tu. Nii lazima aheshimike kama Mwenyekiti Taira mstaafu wa chama aliyejitolea muda wake na rasilimali zake nyingi katika kukijenga chama hiki mpaka hapa kilipofikia hii leo.
MboweMwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia uliowalea? Anajisikiaje aliowanunia anapowaona pamoja na mateso mengi wanayo kutana nayo lakini bado wanadunda na kusonga mbele?
Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
2026
Msigwa c aliwasaliti na bado mkampokea, hata Mbowe mkimuona msaliti bado atarudi Na kumpigia ngonjera.Mbowe asitake watu waje wamuone kama msaliti huko mbele ya safari. Ni ama achague kutengana nao waziwazi, ama arejee kwenye mstari
Una uhakika kuwa Yeye anataka kukaa kimya? Tuanzie hapo kwanza.asitake watu waje wamuone kama