Kukaa kimya ni mbinu wanayoitumia Watu wajinga kuficha udogo na ufinyu wa akili zao

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake.

Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa wanajificha kwenye Mwamvuli wa "Kukaa kimya pia ni Jibu".

Watu wa aina hiii hata Makazin, hawaishi kwenda kwa Waganga, Majungu n.k

Na Huwa ni rahisi kukutoa Uhai unapoonekana una mchallenge !!.

Kujitia Mkimya, wakati huohuo unajifananisha na Chura, Chura mpiga kelele, ni Uswahili tu !!.

DP WORLD KAKUTA UWEKEZAJI MKUBWA ALOUFANYA JPM.

Nguvu kubwa isitumike kuaminisha watu na miradi ya makaratasi.
 
JamiiForums-1265976522.jpg
 
Dah. Umetutukana mazima sisi WAKIMYA!!!!

Umenikumbusha Signature ya Invisible

"Ficha upumbavu wako, onyesha HEKIMA yako:
Nimekusoma ,

Na sio kila kitu cha kuongea hivi rais aanze kujibizana na raia , UKute anamjibu mwijaku mtandaoni si tutamgeukia tena kumuona mjinga ,hao wanatakiwa wajibiwe na wasaidizi wake Rc, DC n.k

N.B sijasema nimeunga mkono serikali
 
Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake .

Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa wanajificha kwenye Mwamvuli wa "Kukaa kimya pia ni Jibu".

Watu wa aina hiii hata Makazin, hawaishi kwenda kwa Waganga, Majungu n.k

Na Huwa ni rahisi kukutoa Uhai unapoonekana una mchallenge !!.

Kujitia Mkimya, wakati huohuo unajifananisha na Chura, Chura mpiga kelele, ni Uswahili tu !!.

DP WORLD KAKUTA UWEKEZAJI MKUBWA ALOUFANYA JPM.

Nguvu kubwa isitumike kuaminisha watu na miradi ya makaratasi.
Samia angekua hababaishwi na makombora ya akina Lissu asingemtuma Abdul akawahonge.
 
Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake.

Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa wanajificha kwenye Mwamvuli wa "Kukaa kimya pia ni Jibu".

Watu wa aina hiii hata Makazin, hawaishi kwenda kwa Waganga, Majungu n.k

Na Huwa ni rahisi kukutoa Uhai unapoonekana una mchallenge !!.

Kujitia Mkimya, wakati huohuo unajifananisha na Chura, Chura mpiga kelele, ni Uswahili tu !!.

DP WORLD KAKUTA UWEKEZAJI MKUBWA ALOUFANYA JPM.

Nguvu kubwa isitumike kuaminisha watu na miradi ya makaratasi.
Kila mtu anayekusema unajibizana naye. Mtu anakuchallenge au kukudharau unajibizana naye. Hii ni dalili ya ukichaa
Nina mambo mengi sana ya kufanya kuliko kuhangaika na upumbavu wa mtu
Nikiona unafuatilia sana maisha yangu, nakuzima.
 
Back
Top Bottom