Kukaa kimya ni mbinu wanayoitumia Watu wajinga kuficha udogo na ufinyu wa akili zao

Kukaa kimya ni mbinu wanayoitumia Watu wajinga kuficha udogo na ufinyu wa akili zao

Mtu mjinga hana hekima ya kukaa kimya..Kukaa kimya kunahitaji mental control kubwa...mjinga atabwabwaja tu ili aonekane naye yumo, mjinga hawezi kuficha ujinga wake na hajui kama anaongea ujinga.
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ€πŸ‘πŸ’πŸŽπŸ™πŸ›‘οΈ
 
Kila mtu anayekusema unajibizana naye. Mtu anakuchallenge au kukudharau unajibizana naye. Hii ni dalili ya ukichaa
Nina mambo mengi sana ya kufanya kuliko kuhangaika na upumbavu wa mtu
Nikiona unafuatilia sana maisha yangu, nakuzima.
Mama ni wewe?Teuzi hizo basi nikumbukwe na mimi hali ngumu kitaa huku bora tuwe wengi wa kukusemea mazuri huku mtaani
 
Ila Cynthia Rothrock nae kwa kupuyanga anastahili tuzo ya Nobel,mara yupo kusini,mara kusini mashariki,hatujakaa sawa mara yupo kaskazini mashariki,akirudi unasikia huyu kamtoa winga ya kulia kampeleka fullback wa kushoto,huyu katolewa striker kaenda kuwa centerhalf,hivi huwa anapumzika kweli? anapata hata muda wa kujisikia nyepesiii?
 
Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake.

Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa wanajificha kwenye Mwamvuli wa "Kukaa kimya pia ni Jibu".

Watu wa aina hiii hata Makazin, hawaishi kwenda kwa Waganga, Majungu n.k

Na Huwa ni rahisi kukutoa Uhai unapoonekana una mchallenge !!.

Kujitia Mkimya, wakati huohuo unajifananisha na Chura, Chura mpiga kelele, ni Uswahili tu !!.

DP WORLD KAKUTA UWEKEZAJI MKUBWA ALOUFANYA JPM.

Nguvu kubwa isitumike kuaminisha watu na miradi ya makaratasi.
The less you speak, the wiser you are.
 
Back
Top Bottom