Kukaa kimya ni mbinu wanayoitumia Watu wajinga kuficha udogo na ufinyu wa akili zao

Mkuu ungemalizana na mtu mmoja kuliko kujumuisha watu wengi. Wengine huwa hatufichi madhaifu ila huwa tunapuuza wapuuzi kwa maana kuendana na upuuzi ili kumpa reaction mpuuzi ni upuuzi uliokamilika.

Kwa hiyo si kila mkimya ni mdhaifu au kila ukimya ni udhaifu. Hizo ni njia tu za kutopoteza focus na resources sehemu zisizostahili
 
"Better to remain silent and be thought a fool than to speak and to remove all doubt"
 
Fijra za kipungywani hizo.

Mwenye akili hakupi sababu ya kukufurahisha kwa kusema kqako, anakukalia kimya tu, kakudharau, u punguwani tu. Bwabwaja uhororoje mpaka utapike.
 
Ni heri katiba ingevunjwa mwaka 2021 kuliko kumpa umalkia huyu MAMA ABDURI aliyefeli form four.

Sijui hata walimuokota wapi?
 
Walinda legacy kazi mnayo.......mratukana mpaka midomo iwakauke lkn mwamba a,escape,a hahangaiki na nyie vinabo.
Akiamua kuwa mkatili anaweza kuwasagilia mbali nyote nyie na upunga wenu.
 
Misguided anger
 
Unaweza kujibizana au kumjibu mtu kama una ufahamu na weledi wa kile alichokusema nacho. Kama huna mara nyingi kukaa kimya ni bora zaidi.
 
Mithali 17:28

Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.

Alamsiki..
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸ›‘οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…