Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

Mmechelewa sana , wenye pesa na vyeti feki walikuwa wanawadanganya jmaa ni dikteta
Ni wapumbavu pekee huamini kuwa waliokuwa wanalalamikia utawala ule ni wa vyeti feki, na ni wapumbavu pekee waliokubali kukaririshwa propaganda ile wakaikubali, na itoshe kukutaarifu kuwa mojawapo ya wapumbavu naowaongelea hapa ni pamoja na wewe. Hata mbinuke hata mpasuke hamtaondoa ukweli kuwa jiwe hakuwa mtu kabisa na 17/3 ni siku ambayo wazalendo halisi wa nchi hii walilala kwa furaha sana
 
At least hao hata kama walifanya/wamefanya mabaya lakini ni mambo ya kiutawala. Ila Jiwe alikuwa anafanya maovu ili kumkomoa mtu flani,ndiyo maana kifo chake kuna watu mpaka walichinja ng'ombe
Wewe fala kweli! Ujinga huu ukiwaambia watoto wa Mwangosi au Dr Mvingi watakuelewa? Wewe unachojua ni kushabikia akina na Arozi na Tundu Lisu!

Kushangilia kwa waovu wala rushwa na wauza madawa ya kulevywa na wenye vyeti feki kama wewe hapo hakuna hasara bali ni faida tupu!

Kwanza hata wewe hapo ulipo huna uhakika kama watu hawatashangilia siku ya kufa kwako au ujinga ndo umekujaa kwenye bichwa lako hilo!?

Punguiza upuuzi mauaji ni mauaji tu haijalishi yamefavywa na system au mtu binafsi! Kila mpenda haki inabidi apinge unyama huu wa kishenzi unaofavywa na CCM na serkali yake!
 
Akili yako inawaza vyeti tu na wala sio Maarifa.
Unazunguka kutwa nzima na bahasha iliyojaa vyeti kwenda kuomba kazi kwa Jah People, Bakhresa ambao hawana hivyo vyeti.
Foolish!!
Sasa msiokuwa na vyeti mbona nanyi mnahangaikia ajira za wenye vyeti? Tumieni maarifa yenu kuwaajiri wenye vyeti kama afanyavyo Bakhresa.
 
Jiwe yeye alikuja na sera ya uporaji mchana kweupu!
Na vijana wa kisukuma wengi walijiita uasalama wa Taifa na wakaanza uporaji!
All in all, he is the best president ever in our country. Few people who don't have a significant impact criticized JPM. However the majority of the Tanzanian witnessed him as, a, hero. Regard.
 
Vyeti feki tulia! Huwezi kushika hata nyadhifa huko porini kwenu fala mkubwa.

Tafuta kazi ya kufanya siasa hata huiwezi !
 
At least hao hata kama walifanya/wamefanya mabaya lakini ni mambo ya kiutawala. Ila Jiwe alikuwa anafanya maovu ili kumkomoa mtu flani,ndiyo maana kifo chake kuna watu mpaka walichinja ng'ombe
Mbona misiba mingi Tu watu wanachinja ng'ombe

Hata kwa Ndesa 🐼
 
Kwa mfano Wewe una furaha gani hapo ulipo?πŸΌπŸ˜‚
 
Mbona misiba mingi Tu watu wanachinja ng'ombe

Hata kwa Ndesa 🐼
Watu walichinja kama kufanya sherehe, hao unaowasema wanachinja kama chakula,sema ndiyo hivyo upeo wako ulipoishia. Ndiyo maana watu wanakusema umezeeka akili kabla ya mwili
 
Sasa mimi na vyeti wapu na wapi? Una akili ndogo sana kudhani kuwa kila mtu anategemea vyeti kuendesha maisha yake. Banafsi nakuona kama Bashite tu
 
Sasa mimi na vyeti wapu na wapi? Una akili ndogo sana kudhani kuwa kila mtu anategemea vyeti kuendesha maisha yake. Banafsi nakuona kama Bashite tu
Unadhani wewe na ukoo wako mnafikia maisha na mafanikio Makonda? Ulishaona wapi mkuu wa mkoa anaongea yuko tayari kuwa mkuu wa mkoa hata wa siku moja? Hapo inaonesha hana njaa kama wewe!
Sasa kama hutegemei vyeti kwa nini uko hapa unalialia kama mtoto wa kike!?
 
Watu walichinja kama kufanya sherehe, hao unaowasema wanachinja kama chakula,sema ndiyo hivyo upeo wako ulipoishia. Ndiyo maana watu wanakusema umezeeka akili kabla ya mwili
Wewe unaogopa kusemwa?! πŸ˜„πŸ˜„
 
Wapinzani na rafiki zao kina Januari mlimuonea sana shujaa Magufuli!! Wakawa wanabeba maiti zisizonna ndugu na kuzitia kwenye viroba kisha kumsingizia shujaa!! Mtakufa midomo ikiwa wazi
 
Wapinzani na rafiki zao kina Januari mlimuonea sana shujaa Magufuli!! Wakawa wanabeba maiti zisizonna ndugu na kuzitia kwenye viroba kisha kumsingizia shujaa!! Mtakufa midomo ikiwa wazi
Mi nadhani ilikuwa ajenda yao kabisa CHADEMA, baadhi ya wana CCM na baadhi ya wanaharakati ili kumchafua JPM ili aonekane ni kiongozi asiyefaa na katili!

Mfano mauaji ya Kibiti aliyakuta ila matokeo yote ya mauaji yaliyotokea kibiti na maeneo ya pwani yote yalisukumiwa kwake kuwa amehusika na anafadhili magenge ya wahalifu!

Ukitaka kujua kuwa hawa watu walikuwa na ajenda ovu juu ya Magufuli angalia wa Masai kule Ngorongoro madhira wanayopitia ila cha kushangaza hutawasikia wanaibuka na kuwatetea,Kuna bwana mmoja Mmasai anaitwa Ole Ngurumwa alikuwa mpinzani mkubwa wa Rais Magufuli ila huwezi kumsikia ana mlaani Samia kama Rais kwa mateso ya Wamasai wenzake!

Mauaji ya kutekwa kwa watu mbalimbali matukio ni mengi sana chini ya utawala huu huwezi kuwasikia wakiongea juu ya haya,Hapa pia kuna mama anaitwa Kijobi simba naye kipindi kile alikuwa mkosoaji mkubwa sana!
Wapo wengi tu kama Zito Kabwe na wanaharakati wengine waliungana kuushambulia utawala wa awamu ya tano kwa uongo mkubwa ili kuweza kuuchafua!

Uwepo wa matukio haya ya kuua watu,kuteka watu na kupoteza watu kuendelea kunawavua nguo wote walio mshambulia JPM kwa kila la kihalifu lillilotea chini ya utawala wake!
 
Taarifa za kupotea ziliripotiwa? Kituo gani?
  • Kituo kimoja kina muungano wa kimawasiliano na kituo kingine?
  • Taarifa ya upoteaji wa mtu kwa hapa Dar, haipaswi kuwa ni taarifa ya Mkoa wote wa kipolisi, instantly?

Mwili haukutambuliwa, kama taarifa za watu kupotea zilivyoshamiri, taarifa za watu wanaotafuta ndugu zao hazipo vituoni?
- Kwanini wasipewe taarifa kama kuna maiti imeokotwa, waende kutambua?

Wapuuzi ni wengi!
 
Mkuu jaribu basi kutumia akili hata kidogo tu, je unajua kuwa Jiwe alikuwa na vyeti feki au hujui? Pia siyo kila mtu anahitaji vyeti kuendesha maisha yake. Ndiyo maana mliitwa wanyonge na mkawa mnabinuka na kufurahi huku watu wanapiga pesa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…