MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Ni wapumbavu pekee huamini kuwa waliokuwa wanalalamikia utawala ule ni wa vyeti feki, na ni wapumbavu pekee waliokubali kukaririshwa propaganda ile wakaikubali, na itoshe kukutaarifu kuwa mojawapo ya wapumbavu naowaongelea hapa ni pamoja na wewe. Hata mbinuke hata mpasuke hamtaondoa ukweli kuwa jiwe hakuwa mtu kabisa na 17/3 ni siku ambayo wazalendo halisi wa nchi hii walilala kwa furaha sanaMmechelewa sana , wenye pesa na vyeti feki walikuwa wanawadanganya jmaa ni dikteta