Kukamatwa kwa Mtanzania Kiongozi wa Waasi nchini Msumbiji: Kwanini hakuripotiwi na Vyombo vyetu?

Hii ni hatari nchi mambo yanatokea na wapo kimya na tutaanza kudhuhudia akina Ally wengi tu maana ndio muda wao wa kutamba huu
 
Ni haibu kubwa mnoooo
 
Kama askar wenyewe wa msumbiji ndio hao basi kazi ipo
 
Hii ni hatari nchi mambo yanatokea na wapo kimya na tutaanza kudhuhudia akina Ally wengi tu maana ndio muda wao wa kutamba huu
Mvua ikinyesha maficho mengi hivyo wanatoka mijini au majumbani na wanaenda polini kwa kozi na utekelezaji wa mipango yao
 
Vyombo vya nje vinatangaza hivyo na sisi tupo kimya kisa hatuna ushahidi wa kutosha, mm niseme tu inabidi tukatae au tukubali. Kwani kukaa kimya itafanya wanayoyasema wao hata kama kuna chumvi nyingi ila ndio ukweli wenyewe utakuwa.
 
Nona sasa
 
Vyombo vya nje vinatangaza hivyo na sisi tupo kimya kisa hatuna ushahidi wa kutosha, mm niseme tu inabidi tukatae au tukubali. Kwani kukaa kimya itafanya wanayoyasema wao hata kama kuna chumvi nyingi ila ndio ukweli wenyewe utakuwa.
Ukweli ni kwamba, Tanzania imekuwa nchi ya kinafiki ever since we didn't attain indepence.

Watu wanakulia Tanzania wanaenda kuendesha guerilla war nchi za jirani na wanachukua madaraka naamini Hawa watu Tanzania inawajua na walisaidiwa na sisi wenyewe kama ambavyo marekani alisaidia wapiganaji wengi kupindua serikali zao.

Angalia Samora Machel alipochukua uongozi kwa Dos Santosh, angalia alikuwa anasapotiwa na nani? Angalia akina Lumumba, Kabila, Kagame, Museveni, Obote yaani hata mapinduzi ya Zanzibar ni Tanganyika halafu tunajifanya kukaa kimya wakitugeuka same as mzee Karume na Abdul Jumbe walishachoka muungano ingali wao waliwekwa na Tanganyika.

Hawa wanapigana guerilla fighters wa Cape Delgado wamekuwepo Somanga, Lindi na Ikwiriri miaka mingi wakapita kutokea Somalia kwenda huko walipo. Pia walifundisha na vijana wa Ikwiriri ndio maana ikabidi kufanya yale yaliyofanyika pale Kibiti!!!

Jambo la kujiuliza serikali ilikuwa haijui kweli kabisa mbona wananchi walikuwa wanajua miaka mingi kabla ya Ile barabara ya Mtwara kujengwa?????

Hii curfew ya Kibiti Hadi OCD kuuwawa mbona iliendeshwa kimyakimya Ina maana kilichowastua ni nini? Na kwa nini ilikuwa ya nyumba kwa nyumba?

Tatizo serikali yetu imezoea kufanya kazi kwa kila kitu kuwa classified wakati tunayaona mitaani huku.

Hivi vikundi vya ugaidi vimekuwa funded nchini hapahapa na wanajua kabisa. Jiulize toka kipindi kile Cha machafuko ya msikiti wa mwembechai kulikamatwa kontena Ina mapanga na majambia kule pwani ya Lindi kwenye Bandari bubu lakini zilijulikana zinaenda wapi mpaka mzee Makamba alielezea enzi Ile alikuwa RC wa Dar.

Haya mambo serikali inayafahamu. Silaha zinapita kwetu kila siku kwenda Congo kwa waasi Ila pia sisi tupo upande wa UN tunapigana na hao waasi.

Silaha wanazopata waasi wa Congo zinatoka Rwanda ambaye anawapa bure sababu ana interest kule kwa banyamulenge ambao ni watu wake. Hizo silaha zinapita kihalali bongo Ila wanapelekwa kwa waasi kwa mwavuli wa Rwanda na unajulikana Ila wanajifanya hawajui wanashangaa.

Tanzania tuache unafiki wa ku-fund hizi Vita hatupati faida yeyote.
 
Kwann wachonganishe wakichonganisha watavunaje sasa hizo raslimali.
Kwann wachonganishe hali wanawezapata raslimali yoyote nchi yeyeto kama wawekezaji bila tatizo.
Unajua walichofanya Libya?
 
mbona watz waasi wapo wengi tuu, ni vile hawajaamua kujionyesha na kulianzisha tuu, na wengi ni wasomi walo kosa ajira, kwa huku Tz wanasubiri tuu serikali ijiingize kwenye 18 zao vzr, ili waliamshe dude barabaraaaa.
 
Vyombo vyetu vya habari haviwezi kuripoti habari hiyo kwa kuwa itatuharibia sifa na pia hivyo vyombo serikali itavifungia kwa uchochezi
Sio kweli na nakukumbusha tu hii ni serikali ya 6 ambayo inaniamini sana na uweledi upo pia
 
Kuna kitu unajua hasa kuhusu terrorist threats ebu tufumbue macho ndugu.
 
Ally kuwa gaidi ni sahihi. Lakini Elikael!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…