Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifungua duka Inabidi ujipange kupambana na chuma ulete mzeeKunakuwaga na chuma ulete
si hivyo tu kuna mtejs mwingne humwamini huwezi mwacha dukani ukatafte chenchiWe unazani ule muda kutoka dukan na kwenda kutafuta chenchi angeweza kupoteza wateja wangapi ambao wangeitaji huduma yake Kwa muda huo?
pengine kijana alimhisi vibaya kumwacha dukani na kwenda kutafuta chenchiWe haukuwa mteja mwaminifu na ndio maana kijana hakukuhudumia..
Ni jambo la ajabu sana kuja mtandaoni kulalamika Kwa kushindwa kuhudumiwa kwa ukosefu wa chenchi.
Kweli kabisa dogo mpumbavu tu kuna muda unakuta wateja hamna yeye badala ya kutafuta chenchi anachezea simu,Kawaida duka linatakiwa liwe na chenchi muda wote.
Mteja akija apewe chenchi baada ya kununua bidhaa.
Usitoe chenchi kwa wanaokuja nunua vocha za 500 kwa 5000/10000
Akatafute wapi.?Kweli kabisa dogo mpumbavu tu kuna muda unakuta wateja hamna yeye badala ya kutafuta chenchi anachezea simu,
Konda hata watu 10 watoe 10,000 kila mmoja atafanya awezalo ili apate hiyo chenji, ikiwezekana hata kwa kununua.wakati wa kufungua duka miongoni mwa vitu vya kuzingatia ni chenchi mkuu!!, fikiria konda akuruhusu ushuke kisha hana chenchi!, natoa mfano wa konda kwa sababu matokeo ya kupoteza wateja kizembe yanaonekana moja kwa moja sasa kwenye duka unaweza usione kama ni mistake lakini ndio mtu naona kama huuzi, kumbe hizi ndogo ndogo unakubali kirahisi ziondoke
Nenda benki na laki moja kaombe chenji ya buku buku na mia tano mia tano.Unajua anaweza akawa anafikilia, na wewe umekuja kununua juisi ili tu upate chenchi.
Kuna muda chenchi ni hadimu sana aise, mtu akija na 10000 kununua kitu cha 500 sometime inakata sana maini. unaweza kosa chenchi ya kumpa mtu atakae kuja kununua bidhaa yenye faida zaid ya hio juisi.
Yaani uliambiwa utafute wewe mwenyewe? Duh mimi nilienda kwa mama mmoja anauza samaki, nikampa 10k eti akaanza kujisemesha na mama mwenzie kwa dharau hivi eti "hee mambo ya mwisho wa mwezi hayo hawana hela ndogo" afu wanacheka, i felt bad na sijarudi tenaIlinikuta bukoba hiyo tena pale center. Nina elfu5 nataka mswaki na dawa ya meno. Jamaa akanijibu katafute kwanza chenchi kwa wale boda boda ukipata njoo ununue. [emoji28][emoji28] ilibidi tu niachane na habari za kuswaki siku ile
Me naeza nikafungua na chenji ya 300k lakini kama siku iyo chenji ni majanga unakuta kufika sa 7- 8 mchana nikawa nateseka na kuomba chenji,Nenda benki na laki moja kaombe chenji ya buku buku na mia tano mia tano.
Mzee hakuna kitu haitabiriki kama chenji aisee!!wakati wa kufungua duka miongoni mwa vitu vya kuzingatia ni chenchi mkuu!!, fikiria konda akuruhusu ushuke kisha hana chenchi!, natoa mfano wa konda kwa sababu matokeo ya kupoteza wateja kizembe yanaonekana moja kwa moja sasa kwenye duka unaweza usione kama ni mistake lakini ndio mtu naona kama huuzi, kumbe hizi ndogo ndogo unakubali kirahisi ziondoke
Kama jamaa alikuwa ni mpitanjia je!?Baba samahani, nimezunguka sana kutafuta change, labda uache hiyo pesa uje baadae, Sina change kabisa. Angalau hii kauli ingemridhisha.
Baba tena?Baba samahani, nimezunguka sana kutafuta change, labda uache hiyo pesa uje baadae, Sina change kabisa. Angalau hii kauli ingemridhisha.