Kukatika umeme Pasaka, TANESCO mnatupiga changa la macho, ni uzembe

Tanesco imejipanga na kwakweli inajitahidi sana kuhakikisha ndoto, matarajio na matamanio ya wateja wake kupata huduma ya umeme wa kutosha na wa uhakika yanafikiwa πŸ’

changamoto haziepukiki,
na bilashaka Tanesco imejipanga kukabiliana nazo kwa haraka sana na kurekebisha hali yoyote ya usumbufu itakayojitokeza kwa wateja wake πŸ’

hayo mengine sijui nani hafai au afanye nini, ni maoni na mtazamo wako binafsi, unaheshimiwa, lakini jukumu la tanesco ni kuhakikisha wateja wake wanapata huduma nzuri na za uhakika πŸ’
 
Ukishindwa kazi, achia ngazi.
Ati matatizo hayaepukiki huo ni uvivu wa kufikiri.
 
Very short and clear Mgao umerudishwa rasmi kimagumashi !
Walisemaga kwamba hata umeme wa bwawa la Nyerere utakapoanza kutumika bei ya umeme haitoshuka !

Na sasa huu mgao ulioanza ngoja Tusubiri tuone kama utakuwa na mwisho. !
Lengo litakuwa ni lile lile kwamba hilo bwawa halitasaidia chochote katika bei na pia katika mgao !!
Watu wanaojiona eti ni wajanja wanaendelea kupambana na Regasi !
(Legacy) πŸ˜…πŸ˜±πŸ™ πŸ™

Ngoja Tusubiri tuone time will tell πŸ™πŸ™
 
Ukishakuwa na watu mediocre kama hawa huko TANESCO, tusitegemee suala la umeme kutengemaa, hata kama vinu vyote 9 vya Rifiji HP vikifanya kazi.
maoni na mtazamo wako ni huru, you have to enjoy kabisa, your freedom of speech right, nami naheshimu sana, lakini si muhimu πŸ’

ile Jambo ya msingi na ya muhimu zaidi ni watu wapate umeme wa kutosha na wa uhakika, na inapotokea hitilafu umma ufahamishwe na hitilafu ishughulikiwe kwa haraka na wateja waendelea kutumia na kufurahia huduma πŸ’

na Tanesco wanaendelea kuchapa kazi bila kujali kushikwa mashati na maoni ya kuwakatisha tamaa πŸ’
 
Mgao kama kawaida !
Wazee wa masandarusi as usual !
 
Ukishindwa kazi, achia ngazi.
Ati matatizo hayaepukiki huo ni uvivu wa kufikiri.
si sawa, na hakuna kazi ya kushindwa πŸ’
Tanesco itang'ang'ana na kukabiliana na kila aina ya changamoto, whether ni hujuma au changamoto ya msingi bila kuchoka, kupumzika wala kukata tamaa, mpaka pale mtanzania huyu mnyonge wa chini, wa kati, na hata yule wa juu wamepata huduma ya umeme wa kutosha na wa uhakika, ili kusudi waendelea vema na kazi zao za uzalishaji na kukuza uchumi πŸ’

habari ya kukata tamaa na kuachia ngazi mbaki nayo wenyewe tu huko huko πŸ’
 
Ilitokea elinino miaka hiyo , lakini tatizo Hilo halikuwahi kutokea, lakini safari hii , madhara yametoka Kidatu na Bwawa la Julius Nyerere. Tatizo ni nini ? Ni zaidi ya tunachoambiwa?? Ni Awamu ya Tano au ya Sita au wapiga dili.
 
Business as usual !
Nadhani narudia tena nadhani Mama anahujumiwa indirectly !

Bado nakumbuka yule bwana aliyesema zinahitajika trillions ili kufanyike ukarabati mkubwa !😱

Trillions and Trillions duh πŸ™„ !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Halafu kaenda kufichwa mambo ya nje unajua huwa najiuliza walivyokuwa wanasema wanafanya maintanance ya mitambo sijui shida ya umeme inakwenda kuisha kwa miaka zaidi ya mi2 walikuwa wanafanya nini?
Yule jamaa alipelekwa kule kwa mkakati maalum na matokeo yake ndio haya na mengine yajayo !!
Ngoja Tusubiri tuone time will tell !!πŸ™
 
Naunga mkono hoja 100%.

Wazembe wa sehemu nyeti kama hizo ni wahujumu uchumi.

Zianzishwe sheria kama za China. Wauliwe tu.
 
Ilitokea elinino miaka hiyo , lakini tatizo Hilo halikuwahi kutokea, lakini safari hii , madhara yametoka Kidatu na Bwawa la Julius Nyerere. Tatizo ni nini ? Ni zaidi ya tunachoambiwa?? Ni Awamu ya Tano au ya Sita au wapiga dili.
Nami hapo ndio nina wasiwasi.
Kuna tatizo mahali TANESCO.
Nimeeleza huko nyuma kuwa pengine Preventive na Regular Maintainance schedules hazifuatwi kikamilifu.
Nasema tena, kuwa mimi nilishatembelea hadi pangoni mwa mtambo hiyo miaka mingi iliyopita, na sikumbuki kusikia tatizo kama hili lililotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…