Kukatika umeme Pasaka, TANESCO mnatupiga changa la macho, ni uzembe

Jirishe kwamba hatufurahii wala kuyapokea kwa bashasha matatizo ya TANESCO.
TANESCO ni shirika la kitaalam.
Hivyo kujaza watu pale half cooked kama huyu msemaji asiyejua lolote, basi anaona hitilafu kama kudra za Mwenyezi Mungu.

Tatizo la kukatika umeme jumapili ya Pasaka, nchi zilizoendelea Managing Director anajiuzulu kama si kufukuzwa kazi.
Tanesco imejipanga na kwakweli inajitahidi sana kuhakikisha ndoto, matarajio na matamanio ya wateja wake kupata huduma ya umeme wa kutosha na wa uhakika yanafikiwa 🐒

changamoto haziepukiki,
na bilashaka Tanesco imejipanga kukabiliana nazo kwa haraka sana na kurekebisha hali yoyote ya usumbufu itakayojitokeza kwa wateja wake 🐒

hayo mengine sijui nani hafai au afanye nini, ni maoni na mtazamo wako binafsi, unaheshimiwa, lakini jukumu la tanesco ni kuhakikisha wateja wake wanapata huduma nzuri na za uhakika 🐒
 
Ukishindwa kazi, achia ngazi.
Ati matatizo hayaepukiki huo ni uvivu wa kufikiri.
 
View attachment 2951223

Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema.
Umeme ulikatika karibia nchi nzima.

Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu

Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko kunatokana na maji "kuzidi" na mitambo kujizima.

Maelezo hayo kimsingi hayana maana kabisa kihandisi.
Maana kwenye nyumba unapata maji kwenye mabomba na kuna mifareji ya kuondoa maji, hivyo " kuzidi" ni suala ambalo halipo, pengine itokee mifereji ya kuondoa maji izibe, su koki za kuingiza maji nyumbani zifeli.

Kwa Kidatu mitambo " kuzidiwa maji" hapa TANESCO hawatuelezi ukweli.

Mimi nimetembelea mtambo wa Kidatu siku nyingi kidogo. Maji yanayo ingizwa mtamboni yanatoka kwenye bwawa, mfereji unaitwa Headrace Tunnel ambao una kilometa 11.
Maji yakifika juu ya mitambo minne kwa mabomba makubwa yanayoitwa Penstocks, maji yanateremshwa kwa presha kubwa sana ya nikikumbuka vizuri ni mita 70 au 100.
Hivyo msukumo wa maji kuendesha Turbines zote 4 huwa na mgandamizo mkubwa sana.
Baada ya hapo maji yakisha sukuma Turbines, hutokea kwa mfereji uitwao Tailrace Tunnel na kurudi mtoni pale Mkamba Kidatu.

Sasa system ya maji na mgandamizo wake, maji muda wote yana sehemu ya kutokea.

TANESCO watupe sababu za kimsingi, maji KUZIDI kwenye mitambi does not make sense.
TANESCO semeni kuwa kuna bomna la Penstock au mfumo wa maji yanayolisha Turbines umepasuka, au kwa lugha rahisi, koki ya kulisha mitambo imeharibika, hivyo maji kutoka na kumwagika kwenye system yake ya mgandamizo.

Na hilo litakuwa ni suala la Maintainance ambayo haijafanyika.
Na huo ni uzembe.
Hatufanyi kazi TANESCO lakini logic ya maeleza waliyotoa TANESCO inakataa keleweka.
Na kwa bahati sisi wengine si wakulima tusiojua hiyo mifumo.
Very short and clear Mgao umerudishwa rasmi kimagumashi !
Walisemaga kwamba hata umeme wa bwawa la Nyerere utakapoanza kutumika bei ya umeme haitoshuka !

Na sasa huu mgao ulioanza ngoja Tusubiri tuone kama utakuwa na mwisho. !
Lengo litakuwa ni lile lile kwamba hilo bwawa halitasaidia chochote katika bei na pia katika mgao !!
Watu wanaojiona eti ni wajanja wanaendelea kupambana na Regasi !
(Legacy) 😅😱🙏 🙏

Ngoja Tusubiri tuone time will tell 🙏🙏
 
Ukishakuwa na watu mediocre kama hawa huko TANESCO, tusitegemee suala la umeme kutengemaa, hata kama vinu vyote 9 vya Rifiji HP vikifanya kazi.
maoni na mtazamo wako ni huru, you have to enjoy kabisa, your freedom of speech right, nami naheshimu sana, lakini si muhimu 🐒

ile Jambo ya msingi na ya muhimu zaidi ni watu wapate umeme wa kutosha na wa uhakika, na inapotokea hitilafu umma ufahamishwe na hitilafu ishughulikiwe kwa haraka na wateja waendelea kutumia na kufurahia huduma 🐒

na Tanesco wanaendelea kuchapa kazi bila kujali kushikwa mashati na maoni ya kuwakatisha tamaa 🐒
 
Mgao kama kawaida !
Wazee wa masandarusi as usual !
 
Ukishindwa kazi, achia ngazi.
Ati matatizo hayaepukiki huo ni uvivu wa kufikiri.
si sawa, na hakuna kazi ya kushindwa 🐒
Tanesco itang'ang'ana na kukabiliana na kila aina ya changamoto, whether ni hujuma au changamoto ya msingi bila kuchoka, kupumzika wala kukata tamaa, mpaka pale mtanzania huyu mnyonge wa chini, wa kati, na hata yule wa juu wamepata huduma ya umeme wa kutosha na wa uhakika, ili kusudi waendelea vema na kazi zao za uzalishaji na kukuza uchumi 🐒

habari ya kukata tamaa na kuachia ngazi mbaki nayo wenyewe tu huko huko 🐒
 
View attachment 2951223

Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema.
Umeme ulikatika karibia nchi nzima.

Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu

Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko kunatokana na maji "kuzidi" na mitambo kujizima.

Maelezo hayo kimsingi hayana maana kabisa kihandisi.
Maana kwenye nyumba unapata maji kwenye mabomba na kuna mifareji ya kuondoa maji, hivyo " kuzidi" ni suala ambalo halipo, pengine itokee mifereji ya kuondoa maji izibe, su koki za kuingiza maji nyumbani zifeli.

Kwa Kidatu mitambo " kuzidiwa maji" hapa TANESCO hawatuelezi ukweli.

Mimi nimetembelea mtambo wa Kidatu siku nyingi kidogo. Maji yanayo ingizwa mtamboni yanatoka kwenye bwawa, mfereji unaitwa Headrace Tunnel ambao una kilometa 11.
Maji yakifika juu ya mitambo minne kwa mabomba makubwa yanayoitwa Penstocks, maji yanateremshwa kwa presha kubwa sana ya nikikumbuka vizuri ni mita 70 au 100.
Hivyo msukumo wa maji kuendesha Turbines zote 4 huwa na mgandamizo mkubwa sana.
Baada ya hapo maji yakisha sukuma Turbines, hutokea kwa mfereji uitwao Tailrace Tunnel na kurudi mtoni pale Mkamba Kidatu.

Sasa system ya maji na mgandamizo wake, maji muda wote yana sehemu ya kutokea.

TANESCO watupe sababu za kimsingi, maji KUZIDI kwenye mitambi does not make sense.
TANESCO semeni kuwa kuna bomna la Penstock au mfumo wa maji yanayolisha Turbines umepasuka, au kwa lugha rahisi, koki ya kulisha mitambo imeharibika, hivyo maji kutoka na kumwagika kwenye system yake ya mgandamizo.

Na hilo litakuwa ni suala la Maintainance ambayo haijafanyika.
Na huo ni uzembe.
Hatufanyi kazi TANESCO lakini logic ya maeleza waliyotoa TANESCO inakataa keleweka.
Na kwa bahati sisi wengine si wakulima tusiojua hiyo mifumo.
Ilitokea elinino miaka hiyo , lakini tatizo Hilo halikuwahi kutokea, lakini safari hii , madhara yametoka Kidatu na Bwawa la Julius Nyerere. Tatizo ni nini ? Ni zaidi ya tunachoambiwa?? Ni Awamu ya Tano au ya Sita au wapiga dili.
 
Business as usual !
Nadhani narudia tena nadhani Mama anahujumiwa indirectly !

Bado nakumbuka yule bwana aliyesema zinahitajika trillions ili kufanyike ukarabati mkubwa !😱

Trillions and Trillions duh 🙄 !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Halafu kaenda kufichwa mambo ya nje unajua huwa najiuliza walivyokuwa wanasema wanafanya maintanance ya mitambo sijui shida ya umeme inakwenda kuisha kwa miaka zaidi ya mi2 walikuwa wanafanya nini?
Yule jamaa alipelekwa kule kwa mkakati maalum na matokeo yake ndio haya na mengine yajayo !!
Ngoja Tusubiri tuone time will tell !!🙏
 
View attachment 2951223

Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema.
Umeme ulikatika karibia nchi nzima.

Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu

Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko kunatokana na maji "kuzidi" na mitambo kujizima.

Maelezo hayo kimsingi hayana maana kabisa kihandisi.
Maana kwenye nyumba unapata maji kwenye mabomba na kuna mifareji ya kuondoa maji, hivyo " kuzidi" ni suala ambalo halipo, pengine itokee mifereji ya kuondoa maji izibe, su koki za kuingiza maji nyumbani zifeli.

Kwa Kidatu mitambo " kuzidiwa maji" hapa TANESCO hawatuelezi ukweli.

Mimi nimetembelea mtambo wa Kidatu siku nyingi kidogo. Maji yanayo ingizwa mtamboni yanatoka kwenye bwawa, mfereji unaitwa Headrace Tunnel ambao una kilometa 11.
Maji yakifika juu ya mitambo minne kwa mabomba makubwa yanayoitwa Penstocks, maji yanateremshwa kwa presha kubwa sana ya nikikumbuka vizuri ni mita 70 au 100.
Hivyo msukumo wa maji kuendesha Turbines zote 4 huwa na mgandamizo mkubwa sana.
Baada ya hapo maji yakisha sukuma Turbines, hutokea kwa mfereji uitwao Tailrace Tunnel na kurudi mtoni pale Mkamba Kidatu.

Sasa system ya maji na mgandamizo wake, maji muda wote yana sehemu ya kutokea.

TANESCO watupe sababu za kimsingi, maji KUZIDI kwenye mitambi does not make sense.
TANESCO semeni kuwa kuna bomna la Penstock au mfumo wa maji yanayolisha Turbines umepasuka, au kwa lugha rahisi, koki ya kulisha mitambo imeharibika, hivyo maji kutoka na kumwagika kwenye system yake ya mgandamizo.

Na hilo litakuwa ni suala la Maintainance ambayo haijafanyika.
Na huo ni uzembe.
Hatufanyi kazi TANESCO lakini logic ya maeleza waliyotoa TANESCO inakataa keleweka.
Na kwa bahati sisi wengine si wakulima tusiojua hiyo mifumo.
Naunga mkono hoja 100%.

Wazembe wa sehemu nyeti kama hizo ni wahujumu uchumi.

Zianzishwe sheria kama za China. Wauliwe tu.
 
Ilitokea elinino miaka hiyo , lakini tatizo Hilo halikuwahi kutokea, lakini safari hii , madhara yametoka Kidatu na Bwawa la Julius Nyerere. Tatizo ni nini ? Ni zaidi ya tunachoambiwa?? Ni Awamu ya Tano au ya Sita au wapiga dili.
Nami hapo ndio nina wasiwasi.
Kuna tatizo mahali TANESCO.
Nimeeleza huko nyuma kuwa pengine Preventive na Regular Maintainance schedules hazifuatwi kikamilifu.
Nasema tena, kuwa mimi nilishatembelea hadi pangoni mwa mtambo hiyo miaka mingi iliyopita, na sikumbuki kusikia tatizo kama hili lililotokea.
 
Back
Top Bottom