Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Tanesco imejipanga na kwakweli inajitahidi sana kuhakikisha ndoto, matarajio na matamanio ya wateja wake kupata huduma ya umeme wa kutosha na wa uhakika yanafikiwa 🐒Jirishe kwamba hatufurahii wala kuyapokea kwa bashasha matatizo ya TANESCO.
TANESCO ni shirika la kitaalam.
Hivyo kujaza watu pale half cooked kama huyu msemaji asiyejua lolote, basi anaona hitilafu kama kudra za Mwenyezi Mungu.
Tatizo la kukatika umeme jumapili ya Pasaka, nchi zilizoendelea Managing Director anajiuzulu kama si kufukuzwa kazi.
changamoto haziepukiki,
na bilashaka Tanesco imejipanga kukabiliana nazo kwa haraka sana na kurekebisha hali yoyote ya usumbufu itakayojitokeza kwa wateja wake 🐒
hayo mengine sijui nani hafai au afanye nini, ni maoni na mtazamo wako binafsi, unaheshimiwa, lakini jukumu la tanesco ni kuhakikisha wateja wake wanapata huduma nzuri na za uhakika 🐒