hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,544
duuuuhhh ndoto za ALly Nacha.
Haswaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuuuhhh ndoto za ALly Nacha.
Pasco
Najiuliza;
Yaliyotokea Kenya yanaweza kutokea Tanzania?
Daniel arp Moi alimpiga panga Makamu wake, Emilio Mwai Kibaki, akamteua Uhuru Kenyatta.
Mwai Kibaki akajiuliza; kulikoni?
Akajiengua KANU, akawaachia Moi na Kenyatta chama chao..
Akaunganisha nguvu na wapinzani,na wakawashinda Rais Moi, Kenyatta na KANU kwenye sanduku la kura.
Hali hiyo yaweza kuja Tanzania?
Edward Ngoyai Lowassa aungane na UKAWA kuiangusha CCM?
HAKIKA, UTABIRI WA BABA WA TAIFA UTAKUWA UMETIMIA
Tuliwaeleza humu. Akithubutu ataungana na kina Mramba hata kabla ya hiyo Oktoba 25.Kwa Katiba ya sasa 1977:
itakuwa sawa na mamba Nje ya maji... Ajaribu aone.
Pasco ungepumzika for now
sioni kama una make sense anymore
kila ulichotuambia huko nyuma kimeenda the opposite
labda sasa ungenyamaza kwanza.......ni kama vile nyinyi wapambe wa mgombea
mna kiu na urais kuliko mgombea mwenyewe
Wanabodi,
CC ya CCM, imefanya kazi yake, imelikata jina la kipenzi cha wengi, Edward Ngoyai Lowassa!.
Jee kukatwa huku ndio mwisho wa ile safari ya matumaini, au ndio mwanzo wa safari ya kweli ya matumaini, kwa kipenzi cha watu, kuanza rasmi safari ya ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, kwa kuipeleka rasmi CCM kaburini?
Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, aliwahi kusema, upinzani wa kweli, utatoka CCM. Jee hiki ndio kipindi cha upinzani huu?
Kwa miaka 50 sasa, Watanzania tumelogwa na jinamizi la CCM kiasi cha kuamini mgombea wa CCM ndie automatically atakuwa rais wa Tanzania!. Wanaopiga kura sio CCM bali ni Watanzania!. Kama Lowassa ndie chaguo la watu, CCM wakaamua kumkata, jee sisi ambao ndio watu, tumchukue Lowassa, kupitia chama kingine chochote tumuingize ikulu?
Jee Lowassa tuliombatiza jina la mwamba, ataliishi hilo jina la mwamba kwa kuonyesha umwamba wake kwa kutokubali kuchinjwa na kufanywa mbuzi wa shughuli, au lile jina la mwamba, tulimpachika tuu, ila in reality kumbe sii mwamba lolote wala chochote, bali ni kichuguu tuu?
Mimi bado ni muumini wa andiko hili lisemalo "Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni!", jee Watanzania tuendelee kuwatumainia hawa waashi wa CCM kuamua hatma yetu na taifa letu, au tumchukue mtu wetu na kusindikiza ikulu nje ya CCM?
Nauliza tena, jee huu ndio mwisho wa safari, au mwanzo wa safari ya kweli ya matumaini kwanza kwa kuingoa CCM na kuikomboa Tanzania?
Pasco!
Kazi ya kichwa si kuotesha nywele pekee bali ata uwezo wa kufi kili...Tumetumia gharama kubwa sana kwa takribani miaka mitano tukiwa tumewekeza kwenye mbio za urais. Watu wengi wamefaidi pesa zetu kwa njia mbali mbali kama za safari kutuomba tugombee, nauli, posh, vipeperushi, tshirts, magari na posho kwa timu yetu. Sasa tumekatwa huku tukiwa tumepoteza mabilioni yetu. Tutarudishaje hayo mapesa yetu? Tunaomba basi kila aliyepata mgao arudishe basi angalau nusu ya walichopewa tupunguze hasara. Tunawaombeni jamani maana tuko katika msiba mzito hata matanga yake hayajulikani yatakwisha lini! Tunaomba maombi yenu katika kipindi hiki kigumu
Khaa!! Kwani wewe unaonaje? Au na wewe umepanic? Kulikuwa hakuna namna nyingine zaidi ya KUKATWA TUKinachokusumbua wewe ni nini sasa?