Kukiendelea hivi, mpaka mwezi July Iran itakuwa imeanguka

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Tupo Salama!

Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka.
Usiende kwa Kasi Sana.

Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi.

Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika.

Polepole ni mbinu ambayo wenye nguvu wasio na tahadhari huipuuza na wanashindwa kukuweka kama adui hatari.

Iran ilishambulia kwa mfululizo katika round ya Kwanza na kwa nguvu Sana.
Lakini baadaye wakagundua kuwa walikosea.

Mapigo ya haraharaka na ya nguvu hutakiwa kufanywa na mtu mwenye nguvu au kulenga shabaha nyeti ili kummaliza adui

Sioni ajabu kwa nini Iran inarusha mabomu kidogokidogo. Jambo ambalo wangetakiwa kuanza nalo.

Vita sio tuu kuwa na silaha Bali mbinu za kuzitumia katika ushambuliaji.

Adui mwenye nguvu kikawaida hapendi kutumia muda mrefu kupambana.

Iran anaonewa, anadhulumiwa, na Dunia haina msaada wowote kwake
Hivyo njia pekee ya kujihami na kutotumia nguvu nyingi na Kasi kubwa kupigana.

Mapigo madogomadogo yenye athari kubwa,
Mapigo madogodogo ili kusogeza muda wa kushindwa huenda msaada utajitokeza kabla hajashindwa.

Lakini kujifanya naye Mkubwa sio ajabu mwezi July historia ikawa imeandikwa vibaya kwao.

Ni wazi Wamagharibi hawatakubali kupoteza nafasi hii.
Hii kwao ni vita muhimu na walioisubiri Muda mrefu.

Dunia hadaa!
 
Tatizo upinzani rasmi wa Iran ni dhaifu mno, Ayatollah ameuchakaza na kuuvunjavunja sana, kuji mobilize kwa kipindi kifupi inaweza kuwa shida.
 
Tatizo upinzani rasmi wa Iran ni dhaifu mno, Ayatollah ameuchakaza sana kuji mobilize inaweza kuwa shida.

Ni kweli.
Sijui watatumia mbinu gani kuishinda Iran jumlajumla bila land invasion

Maana kuingiza majeshi Iran haiwezekani
 
Kuingiza majeshi inawezekana ila sio nchi nzima, watu kama Wakurdi wana usongo sana na Ayatollah, wakipewa silaha wanalianzisha.
Hivi Wakurdi wameanza ugomvi na Ayatollah tena? Hawa si walikuaga na bifu na Saddam Hussein and we thought kwasababu Saddam alikua dhehebu tofauti na wao? Sasa hata wa Shia wenzao hawaelewani? These guys 👦 khaa
 
Sasa wakurdi ambao hata hawafiki theluthi moja ya jamii za Wairan wanamtoaje Ayatollah
 
Iran ina silaha nzuri na ulinzi mzuri ila ina Intelegensia mbovu mno na iliyo jaa uzembe mwingi na wasipo irejebisha hata wakinusulika sasa huko mbele itawagharimu tena.
Ukiangalia tangu kuanza kwa vita 70% ya operation za Israel zilizo fanikiwa zimefanywa kutokea kwenye ardhi Iran mwenyewe na si kutokana na mashambulizi ya ndege ya Israel.

Uharibifu wa Mifumo ya Ulinzi mauaji ya majenerali na wanasayansi vyote vilipangwa kutokea ndani ya Iran.
 
Hivi Wakurdi wameanza ugomvi na Ayatollah tena? Hawa si walikuaga na bifu na Saddam Hussein and we thought kwasababu Saddam alikua dhehebu tofauti na wao? Sasa hata wa Shia wenzao hawaelewani? These guys 👦 khaa
Wakurdi siyo washia wala wasuni. Wakurdi hawana ugomvi wa kidini hata siku moja, wanapigana haki yao ya kuundwa kwa nchi ya wakurdi katikati ya nchi nne za Uturuki, Syria, Iran na Iraq. Wanapigania kuundwa kwa Kurdistan State ili wawe taifa huru
 
Wakurdi popote pale, iwe Iraq, Uturuki au Iran huwa wanapendelea zaidi kuwa na taifa lao wenyewe linalojitegemea.
 
Tupo Salama!

Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka.
Usiende kwa Kasi Sana.

Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi.

Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika.

Polepole ni mbinu ambayo wenye nguvu wasio na tahadhari huipuuza na wanashindwa kukuweka kama adui hatari.

Iran ilishambulia kwa mfululizo katika round ya Kwanza na kwa nguvu Sana.
Lakini baadaye wakagundua kuwa walikosea.

Mapigo ya haraharaka na ya nguvu hutakiwa kufanywa na mtu mwenye nguvu au kulenga shabaha nyeti ili kummaliza adui

Sioni ajabu kwa nini Iran inarusha mabomu kidogokidogo. Jambo ambalo wangetakiwa kuanza nalo.

Vita sio tuu kuwa na silaha Bali mbinu za kuzitumia katika ushambuliaji.

Adui mwenye nguvu kikawaida hapendi kutumia muda mrefu kupambana.

Iran anaonewa, anadhulumiwa, na Dunia haina msaada wowote kwake
Hivyo njia pekee ya kujihami na kutotumia nguvu nyingi na Kasi kubwa kupigana.

Mapigo madogomadogo yenye athari kubwa,
Mapigo madogodogo ili kusogeza muda wa kushindwa huenda msaada utajitokeza kabla hajashindwa.

Lakini kujifanya naye Mkubwa sio ajabu mwezi July historia ikawa imeandikwa vibaya kwao.

Ni wazi Wamagharibi hawatakubali kupoteza nafasi hii.
Hii kwao ni vita muhimu na walioisubiri Muda mrefu.

Dunia hadaa!
Dunia hadaa Marekani shujaa
 
Wakurdi popote pale, iwe Iraq, Uturuki au Iran huwa wanapendelea zaidi kuwa na taifa lao wenyewe linalojitegemea.
Ningepata mamlaka kwa dk tano tu hawa watu ningewapa Taifa lao huru. Hawa jamaa ni kama wayahudi. Kila wanaposihi wana tamaduni zao ambazo zinawaudhi wenyeji kama tu ilivyokuwa kwa Jews. hawa tunapaswa kuiwa Taifa lao, Historia inasema hawa ndo wale WAMEDI (Medes) wa zamani.
 
Wakurdi siyo washia wala wasuni. Wakurdi hawana ugomvi wa kidini hata siku moja, wanapigana haki yao ya kuundwa kwa nchi ya wakurdi katikati ya nchi nne za Uturuki, Syria, Iran na Iraq. Wanapigania kuundwa kwa Kurdistan State ili wawe taifa huru
Shida yao ni kabila au nini? Mfano bongo hapa, tuna Wajaluo, Wamasai, Wakulya, Wameru na Wadigo, wapo both countries, Kenya and Tanzania; na wao waanze kupigana ili wapewe kipande chao? Twende Kyela kule, of course na Rungwe/Tukuyu; wale Wanyakyusa wanao wenzao kule Malawi, na wenyewe wamegewe kipande chao? Waha na Wamanyema; hawa wanaongea lugha moja na Banyamulenge wa Kongo ya Bukavu na Kivu, lakini same language is spoken in Burundi, Ugandan and Rwanda, this includes Wahangaza wa Ngara mkoani Kagera; sijui nao waanze kupigana ili wapewe ardhi yao? Shida ukiisha kua kobazi muda wote unawaza Vita tu, yaani kiu ya kumwaga damu always.
Kama kuna mtihani Mungu alitupatia wanadamu, hakika uislamu ni No 1
 
Endeleeni kuota mwanzo Iran aliepiga makombora mengi kutokana na uimara wa layers za ulinzi za Israel sasahivi akirusha kumi 6 yanapenya kwanini aendelee kurusha makombora 200+ akati 15 yanatosha kupiga targets zake?

🇮🇱⚡️ Zionists source: you don't understand what's going on in the sky, non-stop explosions, in the lower right camera you can also see some of the cities, the entire area, just explosions.
 
Back
Top Bottom