Kukiendelea hivi, mpaka mwezi July Iran itakuwa imeanguka

Shida yao ni kabila au nini? Mfano bongo hapa, tuna Wajaluo, Wamasai, Wakulya, Wameru na Wadigo, wapo both countries, Kenya and Tanzania; na wao waanze kupigana ili wapewe kipande chao? Twende Kyela kule, of course na Rungwe/Tukuyu; wale Wanyakyusa wanao wenzao kule Malawi, na wenyewe wamegewe kipande chao? Waha na Wamanyema; hawa wanaongea lugha moja na Banyamulenge wa Kongo ya Bukavu na Kivu, lakini same language is spoken in Burundi, Ugandan and Rwanda, this includes Wahangaza wa Ngara mkoani Kagera; sijui nao waanze kupigana ili wapewe ardhi yao? Shida ukiisha kua kobazi muda wote unawaza Vita tu, yaani kiu ya kumwaga damu always.
Kama kuna mtihani Mungu alitupatia wanadamu, hakika uislamu ni No 1
Kurdistan lilikuwa ni jimbo la kiutawala ndani ya utawala wa Ottoman Empire likiwa na mipaka yake inayoeleweka, ni tofauti sana na haya makabila ya Waafrika waliokuwa wanazurura kila mahali pasipo kuwa na mifumo rasmi ya kitaifa/states mpaka wakoloni walipokuja kuichora hiyo mipaka.
 
Shida yao ni kabila au nini? Mfano bongo hapa, tuna Wajaluo, Wamasai, Wakulya, Wameru na Wadigo, wapo both countries, Kenya and Tanzania; na wao waanze kupigana ili wapewe kipande chao? Twende Kyela kule, of course na Rungwe/Tukuyu; wale Wanyakyusa wanao wenzao kule Malawi, na wenyewe wamegewe kipande chao? Waha na Wamanyema; hawa wanaongea lugha moja na Banyamulenge wa Kongo ya Bukavu na Kivu, lakini same language is spoken in Burundi, Ugandan and Rwanda, this includes Wahangaza wa Ngara mkoani Kagera; sijui nao waanze kupigana ili wapewe ardhi yao? Shida ukiisha kua kobazi muda wote unawaza Vita tu, yaani kiu ya kumwaga damu always.
Kama kuna mtihani Mungu alitupatia wanadamu, hakika uislamu ni No 1
Haya mababila uliyotaka hayana historia ya kuwa na dola. Hawa wakurdi ndo wamedi wa zamani (The Medes). Wanajua utamu wa kujitawala kama dola kamili. Pia wana utamaduni ambao unaonekana kama kero kwa jamii zingine kama tu ilivyo kwa Wayahudi. Hawa kabla ya ukoloni walikuwa wakijitawala kwa kiasi kikubwa but wakati wa ukoloni wa Muingereza walijikuta wakigawanywa kati ya mataifa manne (Uturuki, Iran, Iraq na Syria). Miongoni mwa Wakurdi wapo ambao ni Washia, Wasuni wa dhebu ndogo la Shafi'i. pia wapo wakristo. but hawa wakurdi huwa hawaelewani kabisa na Waarabu. Wao wanachotka ni taifa lao la Kurdistan.
 
Iran ina silaha nzuri na ulinzi mzuri ila ina Intelegensia mbovu mno na iliyo jaa uzembe mwingi na wasipo irejebisha hata wakinusulika sasa huko mbele itawagharimu tena.
Ukiangalia tangu kuanza kwa vita 70% ya operation za Israel zilizo fanikiwa zimefanywa kutokea kwenye ardhi Iran mwenyewe na si kutokana na mashambulizi ya ndege ya Israel.

Uharibifu wa Mifumo ya Ulinzi mauaji ya majenerali na wanasayansi vyote vilipangwa kutokea ndani ya Iran.
Wafia dini hawatakuelewa
 
Ni kweli.
Sijui watatumia mbinu gani kuishinda Iran jumlajumla bila land invasion

Maana kuingiza majeshi Iran haiwezekani
Kwa nini haiwezekani?

Raisi Bush aliteremsha askari wa miavuli(parachuters)usiku pale Baghdad, kulipokwisha kupambazuka, kila kona ya mtaa kulijaa wanajeshi wa Marekani.
 
Haya mababila uliyotaka hayana historia ya kuwa na dola. Hawa wakurdi ndo wamedi wa zamani (The Medes). Wanajua utamu wa kujitawala kama dola kamili. Pia wana utamaduni ambao unaonekana kama kero kwa jamii zingine kama tu ilivyo kwa Wayahudi. Hawa kabla ya ukoloni walikuwa wakijitawala kwa kiasi kikubwa but wakati wa ukoloni wa Muingereza walijikuta wakigawanywa kati ya mataifa manne (Uturuki, Iran, Iraq na Syria). Miongoni mwa Wakurdi wapo ambao ni Washia, Wasuni wa dhebu ndogo la Shafi'i. pia wapo wakristo. but hawa wakurdi huwa hawaelewani kabisa na Waarabu. Wao wanachotka ni taifa lao la Kurdistan.
Tanzania hapa kulikua na Wahehe, Wangoni na Wanyamwezi; hawa unaweza kuisemeaje dola yao kabla ya mkoloni? Was very strong but look, after independence wote wameamua kuishi kama jamii moja ya Kitanzania na maisha yanakwenda. Sometimes some people must learn and learn in a very hard way kuishi kistaatabu kwenye dunia ya ustaraabu.
Umetolea mfano wa Wayahudi, mbona wapo everywhere in the middle east, every country in the middle east wapo, hatuwasikii wakianzisha ugomvi wa aina yeyote huko, Saudia wapo, Lebanon, Iran, Iraqi and everywhere; kwaanza hata hawasikiki, wapo busy na maendeleo ya nchi walizopo, why Kurdians hawawezi kuishi bila kupigana pigana?
 
Iran isingejiingiza kwenye Hekaheka za kusaidia wengine. Ingejihami Kwanza kwa kujiimarisha kiuchumi na teknolojia.

Wakati mwingine kupigania Haki kunahitaji Muda Sahihi.
Kusubiri Muda sahihi sio uoga
Iran amemsaidia sana Putin kule Ukraine, sasa hivi Putin amapoambiwa kuwa Ayatola amekimbia kujificha anajifanya anasinzia.
 
Raisi wa US anapelekeshwa kwenye kama kupinduliwa basi ni USA kwa sababu Americans wapate uhuru wao kutoka kwa wazayuni , Rais ametoa amri ya kushambulia bila ya kuita congress na kujadili . Hauoni kama kavunja sheria?

Hana ushawishi wa wairan labda afanye ground inversion na hapo watapigwa mpaka waje tena na mgambo ... Marekani huyo aliyepiga ban Raia wa iran wasiingie kwake halafu atafute tena ushawishi kutoka kwao.
 
Kwa nini haiwezekani?

Raisi Bush aliteremsha askari wa miavuli(parachuters)usiku pale Baghdad, kulipokwisha kupambazuka, kila kona ya mtaa kulijaa wanajeshi wa Marekani.
Wakateremshe Tehran tuone, middle east nzima Ina proxy ya Iran wako tayari wanasubiri ayatola apulize muajemi alijiandaa muda alijua tuu baada ya sadam atafuatwa na kweli amaefuatwa hapa Israel ni chambo TU lakini show nzima ni marekani.
 
Proxy mwenye nguvu zaidi wa Ayatollah ni Hezbollah ambaye Israel ilihakikisha inamnyoosha vizuri kwanza kabla ya kumshughulikia Ayatollah.
 
Wakateremshe Tehran tuone, middle east nzima Ina proxy ya Iran wako tayari wanasubiri ayatola apulize muajemi alijiandaa muda alijua tuu baada ya sadam atafuatwa na kweli amaefuatwa hapa Israel ni chambo TU lakini show nzima ni marekani.
Tusubiri tuone.
 
Shida yao ni kabila au nini? Mfano bongo hapa, tuna Wajaluo, Wamasai, Wakulya, Wameru na Wadigo, wapo both countries, Kenya and Tanzania; na wao waanze kupigana ili wapewe kipande chao? Twende Kyela kule, of course na Rungwe/Tukuyu; wale Wanyakyusa wanao wenzao kule Malawi, na wenyewe wamegewe kipande chao? Waha na Wamanyema; hawa wanaongea lugha moja na Banyamulenge wa Kongo ya Bukavu na Kivu, lakini same language is spoken in Burundi, Ugandan and Rwanda, this includes Wahangaza wa Ngara mkoani Kagera; sijui nao waanze kupigana ili wapewe ardhi yao? Shida ukiisha kua kobazi muda wote unawaza Vita tu, yaani kiu ya kumwaga damu always.
Kama kuna mtihani Mungu alitupatia wanadamu, hakika uislamu ni No 1
Mtihani tuliyopatiwa ni huko kutengeneza silaha na kuziuza, mfano hii vita zinatumika silaha kwa sababu kwa ya kuzuia Iran asimiliki silaha(nyuklia).
 
Wakateremshe Tehran tuone, middle east nzima Ina proxy ya Iran wako tayari wanasubiri ayatola apulize muajemi alijiandaa muda alijua tuu baada ya sadam atafuatwa na kweli amaefuatwa hapa Israel ni chambo TU lakini show nzima ni marekani.
Proxies zipi hizo? Proxy kubwa iliyokuwa tegemeo kuu la Iran ili kumsumbua Israel ni Hezbollah, hao wahouth wakurusha ballistic moja ndani ya wiki mbili hawana jipya
 
Tanzania hapa kulikua na Wahehe, Wangoni na Wanyamwezi; hawa unaweza kuisemeaje dola yao kabla ya mkoloni? Was very strong but look, after independence wote wameamua kuishi kama jamii moja ya Kitanzania na maisha yanakwenda. Sometimes some people must learn and learn in a very hard way kuishi kistaatabu kwenye dunia ya ustaraabu.
Umetolea mfano wa Wayahudi, mbona wapo everywhere in the middle east, every country in the middle east wapo, hatuwasikii wakianzisha ugomvi wa aina yeyote huko, Saudia wapo, Lebanon, Iran, Iraqi and everywhere; kwaanza hata hawasikiki, wapo busy na maendeleo ya nchi walizopo, why Kurdians hawawezi kuishi bila kupigana pigana?
Kwa sababu Wakurdi wanabaguliwa na jamii nyingine za mashariki ya kati ambazo ni majority kwenye mataifa waliopo na ukishawabagua watu kikabila, kikanda, kisiasa au kidini muda wowote wanakulipukia tu.
 
Back
Top Bottom