Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Tatizo upinzani rasmi wa Iran ni dhaifu mno, Ayatollah ameuchakaza na kuuvunjavunja sana, kuji mobilize kwa kipindi kifupi inaweza kuwa shida.Tupo Salama!
Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka.
Usiende kwa Kasi Sana.
Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi.
Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika.
Polepole ni mbinu ambayo wenye nguvu wasio na tahadhari huipuuza na wanashindwa kukuweka kama adui hatari.
Iran ilishambulia kwa mfululizo katika round ya Kwanza na kwa nguvu Sana.
Lakini baadaye wakagundua kuwa walikosea.
Mapigo ya haraharaka na ya nguvu hutakiwa kufanywa na mtu mwenye nguvu au kulenga shabaha nyeti ili kummaliza adui
Sioni ajabu kwa nini Iran inarusha mabomu kidogokidogo. Jambo ambalo wangetakiwa kuanza nalo.
Vita sio tuu kuwa na silaha Bali mbinu za kuzitumia katika ushambuliaji.
Adui mwenye nguvu kikawaida hapendi kutumia muda mrefu kupambana.
Iran anaonewa, anadhulumiwa, na Dunia haina msaada wowote kwake
Hivyo njia pekee ya kujihami na kutotumia nguvu nyingi na Kasi kubwa kupigana.
Mapigo madogomadogo yenye athari kubwa,
Mapigo madogodogo ili kusogeza muda wa kushindwa huenda msaada utajitokeza kabla hajashindwa.
Lakini kujifanya naye Mkubwa sio ajabu mwezi July historia ikawa imeandikwa vibaya kwao.
Ni wazi Wamagharibi hawatakubali kupoteza nafasi hii.
Hii kwao ni vita muhimu na walioisubiri Muda mrefu.
Dunia hadaa!
Tatizo upinzani rasmi wa Iran ni dhaifu mno, Ayatollah ameuchakaza sana kuji mobilize inaweza kuwa shida.
Tatizo upinzani rasmi wa Iran ni dhaifu mno, Ayatollah ameuchakaza sana kuji mobilize inaweza kuwa shida.
Kuingiza majeshi inawezekana ila sio nchi nzima, watu kama Wakurdi wana usongo sana na Ayatollah, wakipewa silaha wanalianzisha.Ni kweli.
Sijui watatumia mbinu gani kuishinda Iran jumlajumla bila land invasion
Maana kuingiza majeshi Iran haiwezekani
Kuingiza majeshi inawezekana ila sio nchi nzima, watu kama Wakurdi wana usongo sana na Ayatollah, wakipewa silaha wanalianzisha.
Ngoja tuone.
Ndo maana hata watu nimekwambia kule kwenye Uzi maalumu bila lnda invasion kuangusha utawala ni ngumu sana.Ni kweli.
Sijui watatumia mbinu gani kuishinda Iran jumlajumla bila land invasion
Maana kuingiza majeshi Iran haiwezekani
Hivi Wakurdi wameanza ugomvi na Ayatollah tena? Hawa si walikuaga na bifu na Saddam Hussein and we thought kwasababu Saddam alikua dhehebu tofauti na wao? Sasa hata wa Shia wenzao hawaelewani? These guys 👦 khaaKuingiza majeshi inawezekana ila sio nchi nzima, watu kama Wakurdi wana usongo sana na Ayatollah, wakipewa silaha wanalianzisha.
Sasa wakurdi ambao hata hawafiki theluthi moja ya jamii za Wairan wanamtoaje AyatollahKuingiza majeshi inawezekana ila sio nchi nzima, watu kama Wakurdi wana usongo sana na Ayatollah, wakipewa silaha wanalianzisha.
Wakurdi siyo washia wala wasuni. Wakurdi hawana ugomvi wa kidini hata siku moja, wanapigana haki yao ya kuundwa kwa nchi ya wakurdi katikati ya nchi nne za Uturuki, Syria, Iran na Iraq. Wanapigania kuundwa kwa Kurdistan State ili wawe taifa huruHivi Wakurdi wameanza ugomvi na Ayatollah tena? Hawa si walikuaga na bifu na Saddam Hussein and we thought kwasababu Saddam alikua dhehebu tofauti na wao? Sasa hata wa Shia wenzao hawaelewani? These guys 👦 khaa
Wakurdi popote pale, iwe Iraq, Uturuki au Iran huwa wanapendelea zaidi kuwa na taifa lao wenyewe linalojitegemea.Hivi Wakurdi wameanza ugomvi na Ayatollah tena? Hawa si walikuaga na bifu na Saddam Hussein and we thought kwasababu Saddam alikua dhehebu tofauti na wao? Sasa hata wa Shia wenzao hawaelewani? These guys 👦 khaa
InterestingWakurdi popote pale, iwe Iraq, Uturuki au Iran huwa wanapendelea zaidi kuwa na taifa lao wenyewe linalojitegemea.
Dunia hadaa Marekani shujaaTupo Salama!
Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka.
Usiende kwa Kasi Sana.
Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi.
Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika.
Polepole ni mbinu ambayo wenye nguvu wasio na tahadhari huipuuza na wanashindwa kukuweka kama adui hatari.
Iran ilishambulia kwa mfululizo katika round ya Kwanza na kwa nguvu Sana.
Lakini baadaye wakagundua kuwa walikosea.
Mapigo ya haraharaka na ya nguvu hutakiwa kufanywa na mtu mwenye nguvu au kulenga shabaha nyeti ili kummaliza adui
Sioni ajabu kwa nini Iran inarusha mabomu kidogokidogo. Jambo ambalo wangetakiwa kuanza nalo.
Vita sio tuu kuwa na silaha Bali mbinu za kuzitumia katika ushambuliaji.
Adui mwenye nguvu kikawaida hapendi kutumia muda mrefu kupambana.
Iran anaonewa, anadhulumiwa, na Dunia haina msaada wowote kwake
Hivyo njia pekee ya kujihami na kutotumia nguvu nyingi na Kasi kubwa kupigana.
Mapigo madogomadogo yenye athari kubwa,
Mapigo madogodogo ili kusogeza muda wa kushindwa huenda msaada utajitokeza kabla hajashindwa.
Lakini kujifanya naye Mkubwa sio ajabu mwezi July historia ikawa imeandikwa vibaya kwao.
Ni wazi Wamagharibi hawatakubali kupoteza nafasi hii.
Hii kwao ni vita muhimu na walioisubiri Muda mrefu.
Dunia hadaa!
Ningepata mamlaka kwa dk tano tu hawa watu ningewapa Taifa lao huru. Hawa jamaa ni kama wayahudi. Kila wanaposihi wana tamaduni zao ambazo zinawaudhi wenyeji kama tu ilivyokuwa kwa Jews. hawa tunapaswa kuiwa Taifa lao, Historia inasema hawa ndo wale WAMEDI (Medes) wa zamani.Wakurdi popote pale, iwe Iraq, Uturuki au Iran huwa wanapendelea zaidi kuwa na taifa lao wenyewe linalojitegemea.
Shida yao ni kabila au nini? Mfano bongo hapa, tuna Wajaluo, Wamasai, Wakulya, Wameru na Wadigo, wapo both countries, Kenya and Tanzania; na wao waanze kupigana ili wapewe kipande chao? Twende Kyela kule, of course na Rungwe/Tukuyu; wale Wanyakyusa wanao wenzao kule Malawi, na wenyewe wamegewe kipande chao? Waha na Wamanyema; hawa wanaongea lugha moja na Banyamulenge wa Kongo ya Bukavu na Kivu, lakini same language is spoken in Burundi, Ugandan and Rwanda, this includes Wahangaza wa Ngara mkoani Kagera; sijui nao waanze kupigana ili wapewe ardhi yao? Shida ukiisha kua kobazi muda wote unawaza Vita tu, yaani kiu ya kumwaga damu always.Wakurdi siyo washia wala wasuni. Wakurdi hawana ugomvi wa kidini hata siku moja, wanapigana haki yao ya kuundwa kwa nchi ya wakurdi katikati ya nchi nne za Uturuki, Syria, Iran na Iraq. Wanapigania kuundwa kwa Kurdistan State ili wawe taifa huru
Ndo maana Israel leo kalipua magerezaTatizo upinzani rasmi wa Iran ni dhaifu mno, Ayatollah ameuchakaza na kuuvunjavunja sana, kuji mobilize kwa kipindi kifupi inaweza kuwa shida.