Subiri kipenga uone Israel hawezi kwenda miezi 6 na hii vita dhidi ya Iran, nimesikia taarifa wanataka ceasefire Iran kasema mpaka alipizr Kwa USA ndio watakaa chini. marekani anajua muIran lengo lake hii vita iwe ndefu miaka mingi mazayuni lazima ya kubali tuu, angalia rate ya wananchi wanavyoondoka ndio ujue sirias itakua problem in few months or yearsProxies zipi hizo? Proxy kubwa iliyokuwa tegemeo kuu la Iran ili kumsumbua Israel ni Hezbollah, hao wahouth wakurusha ballistic moja ndani ya wiki mbili hawana jipya
Endelea kushupaza shingo ila uhalisia ushaujua nani atasandaSubiri kipenga uone Israel hawezi kwenda miezi 6 na hii vita dhidi ya Iran, nimesikia taarifa wanataka ceasefire Iran kasema mpaka alipizr Kwa USA ndio watakaa chini. marekani anajua muIran lengo lake hii vita iwe ndefu miaka mingi mazayuni lazima ya kubali tuu, angalia rate ya wananchi wanavyoondoka ndio ujue sirias itakua problem in few months or years
Ulikuwa wapi wakati wa maandamano ya maelfu ya raia kupinga wanawake kulazimishwa kuvaa hijabu/baibui pale Mahsa Amini mkurdi alipouwawa na polisi wa maadili Tehran mwaka 2022 kwa kutovaa ushungi??Huwezi kuung'oa utawala wakati Taifa zima limeungana dhidi ya adui wa nje.
Laiti Iran ingeshambulia watu wake yenyewe halafu hawa wazungu wakaja kwa gear ya "protecting" your own people ingeusumbua utawala wa Iran lakini kwa sasa ni ngumu.
Porojo hizi tushazizoea,kwani nani kawazuia wasiendelee kurusha yale mapipa yao🇾🇪🔻Yemeni Armed Forces:
Any American attack and aggression in support of the Israeli enemy against Iran within the framework of the same goal, which aims to enable the Israeli enemy to control the entire region, and this is something that cannot be ignored, because it means confiscating the freedom, independence and dignity of our nation, enslaving it, humiliating it, distorting its identity, occupying its homelands, plundering its wealth, and establishing the equation of the violation of blood, honor, land and holy sites.
Therefore, the battle is the battle of the entire nation, and the nation's salvation, glory, and victory lie in mobilization, in jihad for the sake of Allah Almighty, as Allah Almighty says: {And fight in the cause of Allah and know that Allah is Hearing and Knowing.}
God Almighty said: {O you who have believed, if you support God, He will support you and plant firmly your feet.} God’s words are true.
Accordingly, if the US becomes involved in an attack and aggression against Iran with the Israeli enemy, the armed forces will target its ships and warships in the Red Sea.
The armed forces are monitoring and observing all movements in the region, including hostile movements against our country, and, with God's help, they will take the necessary legitimate measures to defend our beloved country and its proud people.
Dear Yemen, with its great people, faithful leadership, and struggling army, will stand by any Arab or Islamic country that is subjected to Zionist aggression or decides to confront this aggression in self-defense, or in support of the mujahideen in the Palestinian resistance.
We will not abandon our brothers in the Gaza Strip, and we will not allow this criminal, American-backed entity to implement its plans in the region.
@AlHaqNews
Hapa umechanganya changanya madawa ya kila namnaShida yao ni kabila au nini? Mfano bongo hapa, tuna Wajaluo, Wamasai, Wakulya, Wameru na Wadigo, wapo both countries, Kenya and Tanzania; na wao waanze kupigana ili wapewe kipande chao? Twende Kyela kule, of course na Rungwe/Tukuyu; wale Wanyakyusa wanao wenzao kule Malawi, na wenyewe wamegewe kipande chao? Waha na Wamanyema; hawa wanaongea lugha moja na Banyamulenge wa Kongo ya Bukavu na Kivu, lakini same language is spoken in Burundi, Ugandan and Rwanda, this includes Wahangaza wa Ngara mkoani Kagera; sijui nao waanze kupigana ili wapewe ardhi yao? Shida ukiisha kua kobazi muda wote unawaza Vita tu, yaani kiu ya kumwaga damu always.
Kama kuna mtihani Mungu alitupatia wanadamu, hakika uislamu ni No 1
Wanajitoaga ufahamu hao,wanazidisha mahaba kuliko uhalisia.Ulikuwa wapi wakati wa maandamano ya maelfu ya raia kupinga wanawake kulazimishwa kuvaa hijabu/baibui pale Mahsa Amini mkurdi alipouwawa na polisi wa maadili Tehran mwaka 2022 kwa kutovaa ushungi??
Ulikuwa wapi wakati wa maandamano ya maelfu ya raia kupinga wanawake kulazimishwa kuvaa hijabu/baibui pale Mahsa Amini mkurdi alipouwawa na polisi wa maadili Tehran mwaka 2022 kwa kutovaa ushungi??
Kuangusha utawala wa Ayatollah kutokea hewani pekee bila vikosi ardhini sio rahisiTatizo upinzani rasmi wa Iran ni dhaifu mno, Ayatollah ameuchakaza na kuuvunjavunja sana, kuji mobilize kwa kipindi kifupi inaweza kuwa shida.
Wakurdi wa turkey,Iran, Iraq wote wanataka taifa laoHivi Wakurdi wameanza ugomvi na Ayatollah tena? Hawa si walikuaga na bifu na Saddam Hussein and we thought kwasababu Saddam alikua dhehebu tofauti na wao? Sasa hata wa Shia wenzao hawaelewani? These guys 👦 khaa
Basi mamilioni ya Wairani wanapenda kutembea uchi maana Marekani kuna Wairani zaidi ya milioni 1 naMaandamano ya wanawake kutaka watembee uchi ni ya kupuuza, ndiyo maana mamilioni ya wanawake wengine wanaovaa nguo waliwapuuza walioandamana
Webabu Ritz Adiosamigo hapa tunambishiaje huyu jamaa? Tujitahidi kuja na ubishi na maneno ya faraja kwa wenzetu.Iran ina silaha nzuri na ulinzi mzuri ila ina Intelegensia mbovu mno na iliyo jaa uzembe mwingi na wasipo irejebisha hata wakinusulika sasa huko mbele itawagharimu tena.
Ukiangalia tangu kuanza kwa vita 70% ya operation za Israel zilizo fanikiwa zimefanywa kutokea kwenye ardhi Iran mwenyewe na si kutokana na mashambulizi ya ndege ya Israel.
Uharibifu wa Mifumo ya Ulinzi mauaji ya majenerali na wanasayansi vyote vilipangwa kutokea ndani ya Iran.
Wanaopewa kazi nafasi nyeti za intellegence Mossad ni vipanga kweli na kwa merits hakuna cha mjomba au shangazi kanituma na vimemo au sijui ni mwanazuoni wa dini ya kiyahudi wakati huko Iran machawa wa Ayatollah tena ambao kwao dini na jihad kwanza ndio kipaumbele cha kwanza na cha pili ni kumlinda Ayatollah na utawala wake ndio wanapewa kazi nyeti za ulinzi.Iran ina silaha nzuri na ulinzi mzuri ila ina Intelegensia mbovu mno na iliyo jaa uzembe mwingi na wasipo irejebisha hata wakinusulika sasa huko mbele itawagharimu tena.
Ukiangalia tangu kuanza kwa vita 70% ya operation za Israel zilizo fanikiwa zimefanywa kutokea kwenye ardhi Iran mwenyewe na si kutokana na mashambulizi ya ndege ya Israel.
Uharibifu wa Mifumo ya Ulinzi mauaji ya majenerali na wanasayansi vyote vilipangwa kutokea ndani ya Iran.
Mkuu Iran sio bonyokwa au kisamvuleTupo Salama!
Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka.
Usiende kwa Kasi Sana.
Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi.
Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika.
Polepole ni mbinu ambayo wenye nguvu wasio na tahadhari huipuuza na wanashindwa kukuweka kama adui hatari.
Iran ilishambulia kwa mfululizo katika round ya Kwanza na kwa nguvu Sana.
Lakini baadaye wakagundua kuwa walikosea.
Mapigo ya haraharaka na ya nguvu hutakiwa kufanywa na mtu mwenye nguvu au kulenga shabaha nyeti ili kummaliza adui
Sioni ajabu kwa nini Iran inarusha mabomu kidogokidogo. Jambo ambalo wangetakiwa kuanza nalo.
Vita sio tuu kuwa na silaha Bali mbinu za kuzitumia katika ushambuliaji.
Adui mwenye nguvu kikawaida hapendi kutumia muda mrefu kupambana.
Iran anaonewa, anadhulumiwa, na Dunia haina msaada wowote kwake
Hivyo njia pekee ya kujihami na kutotumia nguvu nyingi na Kasi kubwa kupigana.
Mapigo madogomadogo yenye athari kubwa,
Mapigo madogodogo ili kusogeza muda wa kushindwa huenda msaada utajitokeza kabla hajashindwa.
Lakini kujifanya naye Mkubwa sio ajabu mwezi July historia ikawa imeandikwa vibaya kwao.
Ni wazi Wamagharibi hawatakubali kupoteza nafasi hii.
Hii kwao ni vita muhimu na walioisubiri Muda mrefu.
Dunia hadaa!
Tusiwalaumu Sana Iran kwasababu kabla ya hii vita kumekuwa na mashushu ndani ya iran ambao wapo ndani ya mifumo Yao ya usalama tena ni watu wenye vyeo vya juu..Iran ina silaha nzuri na ulinzi mzuri ila ina Intelegensia mbovu mno na iliyo jaa uzembe mwingi na wasipo irejebisha hata wakinusulika sasa huko mbele itawagharimu tena.
Ukiangalia tangu kuanza kwa vita 70% ya operation za Israel zilizo fanikiwa zimefanywa kutokea kwenye ardhi Iran mwenyewe na si kutokana na mashambulizi ya ndege ya Israel.
Uharibifu wa Mifumo ya Ulinzi mauaji ya majenerali na wanasayansi vyote vilipangwa kutokea ndani ya Iran.
Unajifanyaga much know sana kumbe mweupe tuu
Ukweli lazima usemweDaaah!😀 mkuu haya matusi ni makubwa sana.
Tupo Salama!
Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka.
Usiende kwa Kasi Sana.
Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi.
Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika.
Polepole ni mbinu ambayo wenye nguvu wasio na tahadhari huipuuza na wanashindwa kukuweka kama adui hatari.
Iran ilishambulia kwa mfululizo katika round ya Kwanza na kwa nguvu Sana.
Lakini baadaye wakagundua kuwa walikosea.
Mapigo ya haraharaka na ya nguvu hutakiwa kufanywa na mtu mwenye nguvu au kulenga shabaha nyeti ili kummaliza adui
Sioni ajabu kwa nini Iran inarusha mabomu kidogokidogo. Jambo ambalo wangetakiwa kuanza nalo.
Vita sio tuu kuwa na silaha Bali mbinu za kuzitumia katika ushambuliaji.
Adui mwenye nguvu kikawaida hapendi kutumia muda mrefu kupambana.
Iran anaonewa, anadhulumiwa, na Dunia haina msaada wowote kwake
Hivyo njia pekee ya kujihami na kutotumia nguvu nyingi na Kasi kubwa kupigana.
Mapigo madogomadogo yenye athari kubwa,
Mapigo madogodogo ili kusogeza muda wa kushindwa huenda msaada utajitokeza kabla hajashindwa.
Lakini kujifanya naye Mkubwa sio ajabu mwezi July historia ikawa imeandikwa vibaya kwao.
Ni wazi Wamagharibi hawatakubali kupoteza nafasi hii.
Hii kwao ni vita muhimu na walioisubiri Muda mrefu.
Dunia hadaa!
Wewe amka Iran ndio inaondoka hivyo wasubiri utawala mpya utaowekwa hapo lkn sio khamenei tenaSubiri kipenga uone Israel hawezi kwenda miezi 6 na hii vita dhidi ya Iran, nimesikia taarifa wanataka ceasefire Iran kasema mpaka alipizr Kwa USA ndio watakaa chini. marekani anajua muIran lengo lake hii vita iwe ndefu miaka mingi mazayuni lazima ya kubali tuu, angalia rate ya wananchi wanavyoondoka ndio ujue sirias itakua problem in few months or years