Aibu yakoMbona gaidi alikiri kutaka kuua viongozi wetu na kuchoma moto vituo vya kujazia mafuta?
Alokiri wapi? Ficha ujinga wakoMbona gaidi alikiri kutaka kuua viongozi wetu na kuchoma moto vituo vya kujazia mafuta?
Moja ya sifa yako kuu kwa sasa ni kuandika bila kufikiri ili uonekane unaandika sana na wewe ndio Ronaldo wa JF wakati ni jichwa box tuu. Mbowe amekiri nini? Hata kijana mdogo mwenye IQ ya wastani aliyefuatilia kesi ile anajua nini kilifanyika tofauti na makubwa J. msiotaka kuelewa.Wewe unadhani Mbowe hajakiri?
Siasa zina mambo yake acha utoto!
Wewe hujui Siasa uko Chadema kikanda tuMoja ya sifa yako kuu kwa sasa ni kuandika bila kufikiri ili uonekane unaandika sana na wewe ndio Ronaldo wa JF wakati ni jichwa box tuu. Mbowe amekiri nini? Hata kijana mdogo mwenye IQ ya wastani aliyefuatilia kesi ile anajua nini kilifanyika tofauti na makubwa J. msiotaka kuelewa.
Serikali gani?Asahau tena kazi serikalini. He is officially a criminal
Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu kwamba yeye ni gaidi muuwajiSabaya amefedheheka sana kuwa ni Jambazi, mpokea rushwa, mtumia madaraka vibaya na mbakaji.
CCM nayo imeadhirika kwa kuwa inaweka madarakani vijana wenye hulka mbaya bila ya kuwafanyia Scanning hivyo ni chama kisicho makini na hakifai kupewa dhamana tena. Jee wangapi wa aina ya Sabaya bado wapo?
Awamu ya 5 iliyokuwa inasemwa kuwa inatumia viongozi wake baadhi kutenda maovu nayo sasa imedhibitishwa kuwa ilikuwa ya kishetani kwa huu ukiri wa Sabaya.
Kumbe hata sheria ya Plea bargain ilitungwa kuwalinda zaidi watu wao wakiharibu.
Kwa kukiri kwake maovu yale yote hata kama kapewa hukumu ile ndogo na mahakama, jamii bado HAIJAMSAMEHE maana hajaiomba radhi na kutubu makosa zaidi ya kuitambulisha kuwa ni MUOVU.
AIBU, AIBU,AIBU.
Alikiri wapi,?.Wewe unadhani Mbowe hajakiri?
Siasa zina mambo yake acha utoto!
Kwa aliyemhairishia Kesi!Alikiri wapi,?.
Huwa mnatumiaje ubongo wenu wa mbele,?!!
Nenda shule bwana Jackson ujiepushe na aibu! Kesi ya kujibu ni hatia?Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu kwamba yeye ni gaidi muuwaji
Mbona waligoma kuimalizia, waliona ccm wataaibika wakaitoa!Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu kwamba yeye ni gaidi muuwaji
We ulitaka asemeje Kwa mfano. Jela siyo kuzuri ujue. We mwone Mbowe anatabasamu tu hata Kwa vitu visivyofurahisha..Sabaya amefedheheka sana kuwa ni Jambazi, mpokea rushwa, mtumia madaraka vibaya na mbakaji.
CCM nayo imeadhirika kwa kuwa inaweka madarakani vijana wenye hulka mbaya bila ya kuwafanyia Scanning hivyo ni chama kisicho makini na hakifai kupewa dhamana tena. Jee wangapi wa aina ya Sabaya bado wapo?
Awamu ya 5 iliyokuwa inasemwa kuwa inatumia viongozi wake baadhi kutenda maovu nayo sasa imedhibitishwa kuwa ilikuwa ya kishetani kwa huu ukiri wa Sabaya.
Kumbe hata sheria ya Plea bargain ilitungwa kuwalinda zaidi watu wao wakiharibu.
Kwa kukiri kwake maovu yale yote hata kama kapewa hukumu ile ndogo na mahakama, jamii bado HAIJAMSAMEHE maana hajaiomba radhi na kutubu makosa zaidi ya kuitambulisha kuwa ni MUOVU.
AIBU, AIBU,AIBU.
Sabaya amekiri mashitaka mawili peke yake,nayo niSabaya amefedheheka sana kuwa ni Jambazi, mpokea rushwa, mtumia madaraka vibaya na mbakaji.