Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

Ndoa ya masanja ilitaka kuvunjika je sababu ilikuwa ni pombe? Je umetafiti kiasi gani mpaka kufikia hizo conclusion..kuna wanakwaya hawanywi pombe lakini wanazagamuana wao kwa wao, whats the difference?
Na wewe ni jitu la hovyo kabisa lililokuwa addicted ni madawa ya hovyo linajitahidi kutetea uhovyo wake"Duae iniuriae do ius facere"
 
Tofauti na pombe ninywe kinywaji gani mkuu?nishauri
Ukinywa soda sumu, maji yaliyoumbwa na Mungu ambayo hayajawekwa kwenye jikofu kunywa kwa afya yako.Epuka juice unazodamganywa ni za matunda halisi. Kula tunda lenyewe ili ufaidi na roughage ambazo huchujwa na watengeneza juice hao ambazo zinafaida mwilini
 
Nikipiga zangu eagle au bingwa natulia tuliii kiroho safi.hizo spirit kunyweni wenyewe kuna siku nilipiga valuer macho yakagoma kufunguka uzuri nilikuwa nyumbani tangu siku hiyo sitaki kusikia kitu kinaitwa spirit
Iyo Eagle pamoja na balimi mtu akizinunua jirani yangu nahama sikai nae meza moja
 
Umeanza lini kutoa semina mkuu?
 
Nikipiga zangu eagle au bingwa natulia tuliii kiroho safi.hizo spirit kunyweni wenyewe kuna siku nilipiga valuer macho yakagoma kufunguka uzuri nilikuwa nyumbani tangu siku hiyo sitaki kusikia kitu kinaitwa spirit
Valuer sio spirit ni brand
 
Ulitelekezwa mwaka gani??
 
Tofaut ya spirit na brand Ni ipi[emoji848]
Pombe kali (Hard liquor) zipo haina nyingi kama Spirit, Vodka, Whiskey, Gin, Cognac etc

Utofauti wake ni jinsi zinavyotengezwa!!

Mfano kuna aina zaidi ya kumi za Grants japokua zote ni Whiskey
 
Na wewe ni jitu la hovyo kabisa lililokuwa addicted ni madawa ya hovyo linajitahidi kutetea uhovyo wake"Duae iniuriae do ius facere"
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine...hunywi pombe but unakunywa juice whats a difference..they both kill your kidney..na akili yako ndogo unahisi wanaokunywa pombe ndo wanaochepuka..mbona wewe hinywi na umejaza michepuko kwenye simu yako
 
Weee mbuzi kinywaji changu ni maji ya Mungu tuu. Tena sinnywi yaliyowekwa kwenye jokofu. Matunda ninakula yenyewe na maganda yake kenge la hovyo kabisa wee unsokesha baa luteketeza fedha na machangu wakati nyumbani umeacha hela ya dagaa jahanuni mkubwa wee mpenda sifa unajifanya pedrshee ili utajwe jina kwenye live band unawsmwagia fedha wakati kwako kunaangamia binafsi kuu wewe
 
Hata dawa za kulevyia Africa zinatumika badly
 
Wewe ni young Dee? Amepost habari kama hiyo insta
 
kuna mtaa niliishi muda sana kabla ya kuama, nimeenda juzi madogo nikawanunulia K Vant, wakamuulize muuzaji hii ya hapo nyuma au yenyewe OG, akaambiwa OG baadae nawauliza wanasema kuna kiwanda nyuma hapo tena ndani ya nyumba wanavyatua tu gongo watu wanasema K Vant, duuuh nilichoka
 
Hakuna tofauti na wewe unaye mwaga hizo pesa kanisani alafu mchungaji wako anaenda kuhonga vimada. Alafu upuuzi mwingine ulionao unadhani kula matunda ndo upo salama, matunda yanaweza kuwa hatari kuliko hizo pombe, uneshawahi jiuliza ni tani ngapi za sumu zinatumika kukuza hayo matunda mpaka ukayala na je hufahamu kwamba sukari ya kwenye hayo matunda is a worse ingredients that can kill your organs while smilling. Dont be zombi kijana. Na hayo maji kuweka au kutokuweka kwemye fridge what is the difference?
 
du!!! bora njikite kwenye kunywa mnazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…