Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

ni watu walikuja hapo na magari makali tulakini sasa ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ni wa hovyo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unanifanya niimagine ndugu zangu ninaowafahamu wanakunywa dah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
 
duuh hii mpya sasa mpaka kwenye swimming pool watu wanaumwaga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
We washangaa kukojoa mie huwa nakunya kabisa humo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Bongo hatari sana, hata kwenye swimming mtu anakojoa na kunya ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ sizani kama nitahama hii nchi.
 

Si ajabu wengine humo humo wanazini na mahawara zao, tabia mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ