Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

Tabia hii ipo kwetu wakina dada, yani tukisha ingia ,labda kwa zile nguo zinachora"k" ilivyo mtu anaamua abaki ndani , anakojoa huko huko we utashangaa tu ukioga unawashwa.
wengine pia unakuta MTU YUPO HEDHI ila analazimisha kuoga, nayo mbaya sana hii, unakuta maji yanakuwa na rangi ya ajabu.
Tubadilike.
Nilikuwa nasubiri la kunifanya nisiogelee tena kwenye hayo madude...kwa hili la hedhi no no no siogelei tena.
 
Maji ya swimming pool yanechanganywa na kemikali fulani ambapo ukikojoa au kuingiza kemikali za tofauti huwa inadetect na kubadilisha rangi eneo la tukio! Kwa hiyo mtu akiwa anakojoa ukiwahi utaona rangi ya maji imebadilika!
 
IMG-20210522-WA0058.jpg
 
Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.

Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake.

Usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.
Walazimishwe kuvaa swimming trunks za kubana sana. Bila hivyo mtakunywa uharo. Tena kwa gharama zenu.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.

Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake.

Usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.

yaani hivyo kidogo unalalamikaaaa wakati me nilihalisha kama bata pyaaaaaa nikaona bubles tu kwa juu 😇😇😇😇
 
Utakuwa unajidanganya.
Kuna sehemu niliona vijana wanakunywa bia kuanzia saa 5 asb hadi saa 10 jioni huku wakiogelea,hakuna hata mmoja aliyetoka kwenda toilet.

Nilijiuliza tu inawezekanaje unakunywa bia zaidi ya 5 halafu hujaenda kukojoa zaidi ya masaa manne!?
Hakuna mtu hajawahi kukojoa kwenye pool nasema hakuna mtu huyo
 
Hayo mambo waachieni vijana, mtu mzima na akili zako unaanzaje kuogelea kwenye swimming pool....inaonyesha kwenye makuzi yako hukuwahi hata kuogelea mtoni, ziwani au baharini...
 
Ukisikia macho yanawasha sana ukiwa unaogelea kwenye swimming pool toka huko haraka unaoga mikojo🤣🤣
 
Kunae mshenzi mmoja aliupiga bila kilainishi mchana kweupe pale zero gravity dubai na sehemu ikafungwa kwa muda mrefu alisababishia kampuni hasara sana yule mwarabu kutoka mji mwema
 
Swimming pool iliyosalama ni ile ipo nyumbani kwako tu wakuu nyingine hakuna mtu hakojoi kwenye pool tena balaa zaidi ni yale yanayokuwa juu (rooftop) maji hayakimbii kama lililopo chini
Mimi yangu bahari tu swimming pool big no!!
 
Me kuna mahali nilienda na hapa dar pool yao imeunganika na bar kuna jamaa walikuwa ndani ya pool wakipiga soga huku wakinywa bia
Nilikaa hapo kama 3 hours sioni wanaenda chooni nikaambia yule nilikuwa nae hapa siyo pazuri 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom