mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Wewe hujui kuogelea?Jamaa alikuaga anamfundisha demu wangu kuogelea, mie nimekaa kwa pembeni nabembea.
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujui kuogelea?Jamaa alikuaga anamfundisha demu wangu kuogelea, mie nimekaa kwa pembeni nabembea.
Bora umemwambia maana Swimming pool nyingi lazima ujisuuze ndo uingie kuogelea.yes swimming pool za Chato huko.
Nilikuwa nasubiri la kunifanya nisiogelee tena kwenye hayo madude...kwa hili la hedhi no no no siogelei tena.Tabia hii ipo kwetu wakina dada, yani tukisha ingia ,labda kwa zile nguo zinachora"k" ilivyo mtu anaamua abaki ndani , anakojoa huko huko we utashangaa tu ukioga unawashwa.
wengine pia unakuta MTU YUPO HEDHI ila analazimisha kuoga, nayo mbaya sana hii, unakuta maji yanakuwa na rangi ya ajabu.
Tubadilike.
Hivi ni kwanini aisee.. vyoo vya mademu ni vichafu balaa.. daaahCha kushangaza vyoo vya warembo wa vyuo Ni vichafu kuliko vya wanaume. Lkn wakishatuvalia vijisketi vifupi na vi top hutahisi kitu
Walazimishwe kuvaa swimming trunks za kubana sana. Bila hivyo mtakunywa uharo. Tena kwa gharama zenu.Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.
Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake.
Usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.
Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.
Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake.
Usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.
Hapo uliitendea hela yako hakiyaani hivyo kidogo unalalamikaaaa wakati me nilihalisha kama bata pyaaaaaa nikaona bubles tu kwa juu 😇😇😇😇
Hakuna mtu hajawahi kukojoa kwenye pool nasema hakuna mtu huyo
Mbona maji ya SP huwa yako angavu sana, anawezaje kufanya hivyo asionekaneUnaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji