Kukomaa kisiasa: Pamoja na fitina na ubaya wote aliotendewa na Ole Sabaya, Mwenyekiti Mbowe ametulia kimya

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.

Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu.

Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na ukristo wake Freeman amekomaa sana kisiasa!
 
Sometimes unakaa kimya kwasababu huna cha kufanya.

Vile vile Mbowe alijua kabisa ni nani anampa kichwa Sabaya na hivyo asingewezana naye.

Mbowe ni mfanyabiashara na ndio maana wakati hayo yakitokea alijitahidi kutokureact ili apunguze madhara upande wake ndio maana hata aliwabebelea CHADEMA kwenda Mwanza wakati wa sikukuu ya Uhuru kutafuta maridhiano lakini Magu alikaza.

Makamba na Kinana tu walishambuliwa na Musiba wakakosa cha kufanya sembuse mtu mwenye madaraka kama Sabaya.
 
Kuna siku utatangaza kujiunga na CHADEMA.
 
Leo hii Sabaya yupo pekee yake kisongo anahesabu mabati na kuhesabu ndege ngapi zimetua na kuruka kutoka Arusha
 
Sometimes unakaa kimya kwasababu huna cha kufanya.

Vile vile Mbowe alijua kabisa ni nani anampa kichwa Sabaya na hivyo asingewezana naye.

Mbowe ni mfanyabiashara na ndio maana wakati hayo yakitokea alijitahidi kutokureact ili apunguze madhara upande wake ndio maana hata aliwabebelea CHADEMA kwenda Mwanza wakati wa sikukuu ya Uhuru kutafuta maridhiano lakini Magu alikaza.

Makamba na Kinana tu walishambuliwa na Musiba wakakosa cha kufanya sembuse mtu mwenye madaraka kama Sabaya.
Nimekuelewa bwashee!
 
Back
Top Bottom