Kukomaa kisiasa: Pamoja na fitina na ubaya wote aliotendewa na Ole Sabaya, Mwenyekiti Mbowe ametulia kimya

Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
Ili iweje??.Huku ni kufilisika hoja.
 
Magufuli ni Great Satan aka Lucifer aka Beezebul...down with Magufuli
 
Kwani mkuu Mbowe na Lissu walikulawiti? Jiwe hayupo tena. Alisema ataiua chadema ila cha ajabu alidanja yeye kaiacha chadema ikiwa hai na Mbowe akiwa ngangari
 
Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.
Huo ukabila alioupigia upatu huko kanda ya ziwa kwani siyo siasa za maji taka? Hapo bwashee naona umeingia cha kike!
 
Tunaposema Mbowe ni mwamba tunamanisha mwamba kweli kweli Pia kama hamjui Mbowe ni mwalim wa siasa Africa.
 
Aisee we mzee wakati mwingine huwa unakera sana na vi thread vyako uchwara,

Tafuta hata bustani ya mboga uwe unanyeshea,

Sio kila Jambo tu unapost.
 
Shetani anaposhughulikiwa wwe unashughulika na nini
 
Mbowe angekua rais nchi ingekua Sawa Sana hiii
 
Mkuu uwe unakunywa dawa zako kila mara. Angalia dishi lilivyotulia na kuweza kuandika kitu cha maana kama hiki Bwashee.
Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.

Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu.

Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na ukristo wake Freeman amekomaa sana kisiasa!
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
Nonsense [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.

Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu.

Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na ukristo wake Freeman amekomaa sana kisiasa!
FB_IMG_1589397986327.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mwamba kazini
 
Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.

Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu.

Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na ukristo wake Freeman amekomaa sana kisiasa!
Mbowe ni zaidi ya jambazi
 
Hii nchi ilikuwa inatawaliwa na mtu muovu, ndio maana waovu kama akina Sabaya waliweza kutamba.
Ila jiwe alikua shetani yule ndio maana Mwenyenzi Mungu kamtupa shimoni kabla ya kumaliza mihula yake miwili

Almighty God is Great
 
Mbowe born town kitambo,anajua kuishi na watu,mbowe licha ya kuwa mpinzani lakini ana marafiki serikalini na watu kwenye vyama vingine vya siasa

Maisha ni safari

Ova
 
Back
Top Bottom