Kukomaa kisiasa: Pamoja na fitina na ubaya wote aliotendewa na Ole Sabaya, Mwenyekiti Mbowe ametulia kimya

Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.

Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu.

Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na ukristo wake Freeman amekomaa sana kisiasa!
Background ya Freeman kuzaliwa kwenye familia yenye uwezo ndiyo inamfanya awe mtulivu kiasi hicho.

Na Mwendazake alikuwa ana tabia ya chuki, ubaguzi, uuaji, uwongo kutokana naye na makuzi yake. Yasemekana kuwa yeye ni mtoto wa mama mhamiaji toka Burundi ambaye hajui biological father wake. Na akaja akalelewa na baba Msukuma ambaye ndiye Magufuli sasa.

Fundisho; TISS wawe wanakuwa na data za wagombea u-Rais wote na isiwe Siri kuanzia kwenye vyama vyao hadi Uchaguzi Mkuu. TISS waweke ripoti kamili ili wapiga kura tujue ni mbuzi kwenye gunia au ni Rais kweli. Itatusaidia tusiingie MKENGE tena kama tulivyoingia kwa MWENDAZAKE
 
Kama kweli motto wa mungu upo! Basi bwana magufuli hautamkosa! Yaani mtu mwenye akili ndogo kama sabaya unafanya nae kazi kweli?
 
Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.

Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu.

Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na ukristo wake Freeman amekomaa sana kisiasa!
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
 
Background ya Freeman kuzaliwa kwenye familia yenye uwezo ndiyo inamfanya awe mtulivu kiasi hicho.

Na Mwendazake alikuwa ana tabia ya chuki, ubaguzi, uuaji, uwongo kutokana naye na makuzi yake. Yasemekana kuwa yeye ni mtoto wa mama mhamiaji toka Burundi ambaye hajui biological father wake. Na akaja akalelewa na baba Msukuma ambaye ndiye Magufuli sasa.

Fundisho; TISS wawe wanakuwa na data za wagombea u-Rais wote na isiwe Siri kuanzia kwenye vyama vyao hadi Uchaguzi Mkuu. TISS waweke ripoti kamili ili wapiga kura tujue ni mbuzi kwenye gunia au ni Rais kweli. Itatusaidia tusiingie MKENGE tena kama tulivyoingia kwa MWENDAZAKE
Kama ilivyokuwa Kwa Obama, kila kitu kilijulikana na misimamo yake kuhusu familia na dini maana Baba na mama yake hawakuwa na dini moja. Huyu WA kwetu mpaka leo ni Siri mara msukuma mara ana asili ya Kagera. Watu wanaoficha identity huwa Wana shida.
 
Pole mjane
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
Wewe ni zaidi ya kilaza wa kutupwa.
 
Akili kidoda
 
Mbowe ana roho ya pekee sana.natamani mie niipate japo hata nusu yake hata gamuongelei kabisa.

Lazima jamani tujifunze kwa huyu jamaa daaa!!
Hata kaka yake mbowe yule mjeda wa kulee salasala alipovuta alikuwa kiroho safi tu na jiwe.... Daaaa long live broza mbowe....
 
Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.

Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu.

Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na ukristo wake Freeman amekomaa sana kisiasa!
Malizia stori yako.
 
Back
Top Bottom