johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna siku utatangaza kujiunga na CHADEMA.Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.
Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu.
Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na ukristo wake Freeman amekomaa sana kisiasa!
Muda siyo mrefu kila mtanzania ataikana ccmIla unamuunga mkono Hayati alieishi kwa visasi!
Hakika unafiki nao ni kipaji!
Anyway, kuna wakati hata saa mbovu husema ukweli.
Mungu hawezi kulinganishwa na jambo lolote lile.MUNGU ambaye anajua kesho aliona namna nchi ingekuwa endapo magufuli angeendelea kuwa hai..... asante Sana MUNGU Kwa kuipenda Tanzania
Mwisho wa siku wanatapishwa chamboHii nchi ilikuwa inatawaliwa na mtu muovu, ndio maana waovu kama akina Sabaya waliweza kutamba.
Leo hii Sabaya yupo pekee yake kisongo anahesabu mabati na kuhesabu ndege ngapi zimetua na kuruka kutoka ArushaSometimes unakaa kimya kwasababu huna cha kufanya.
Vile vile Mbowe alijua kabisa ni nani anampa kichwa Sabaya na hivyo asingewezana naye.
Mbowe ni mfanyabiashara na ndio maana wakati hayo yakitokea alijitahidi kutokureact ili apunguze madhara upande wake ndio maana hata aliwabebelea CHADEMA kwenda Mwanza wakati wa sikukuu ya Uhuru kutafuta maridhiano lakini Magu alikaza.
Makamba na Kinana tu walishambuliwa na Musiba wakakosa cha kufanya sembuse mtu mwenye madaraka kama Sabaya.
Mbowe ndiyo anastahili kuitwa shujaa wa siasa za Afrika na siyo hao wengineKile kichwa ni hazina ya Taifa! Long Live Brother
Nimekuelewa bwashee!Sometimes unakaa kimya kwasababu huna cha kufanya.
Vile vile Mbowe alijua kabisa ni nani anampa kichwa Sabaya na hivyo asingewezana naye.
Mbowe ni mfanyabiashara na ndio maana wakati hayo yakitokea alijitahidi kutokureact ili apunguze madhara upande wake ndio maana hata aliwabebelea CHADEMA kwenda Mwanza wakati wa sikukuu ya Uhuru kutafuta maridhiano lakini Magu alikaza.
Makamba na Kinana tu walishambuliwa na Musiba wakakosa cha kufanya sembuse mtu mwenye madaraka kama Sabaya.
Mimi nilikuwa Chadema wakati wewe bado uko Msumbiji!Kuna siku utatangaza kujiunga na CHADEMA.
Mwenda kwao siyo mtumwaMimi nilikuwa Chadema wakati wewe bado uko Msumbiji!
Wakati huo jambazi mwenzio Sabaya alikuwa wapi?Mimi nilikuwa Chadema wakati wewe bado uko Msumbiji!
Sabaya angeweza kuwa mtoto wa Mbowe wa kumzaa! Hata kumshindanisha Sabaya na Mbowe tu, ni kosa la kimaadi!Mbowe ni level nyingine ile, Sabaya ni sawa na sisimizi tu kwake! Yaani tangu Sabaya hajazaliwa hata kufikiria Mbowe alikua anamiliki Boat ya Uvuvi anapiga pesa!