Kukomesha wizi wa kura wa NAPE, kwanini tusipige kura kwa utaratibu wa kujipanga nyuma ya mgombea

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?

View: https://web.facebook.com/144393622272640/videos/uchaguzi-wa-kujipanga-nyuma-ya-mgombea-uganda/2063585397020110/?paipv=0&eav=AfY-Hsj7bHt93ptByG1Cagcef6r_4eMSZAXv2B7QiaDY5O0gRYjM4J9YazvtVCDp1Yc&_rdc=1&_rdr
 
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?
Kura ni siri kati ya mpiga kura na mpigiaji kura.
 
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?
Wazo zuri liungwe mkono.
 
Wazo lako siyo zuri hata kidogo, ni hatari Sana kwa usalama wa Wapiga Kura, hususani wale wanaotaka usiri kwenye Maoni yao ya kumchagua mtu wanayemtaka.

Njia pekee kabisa ya kukomesha Wizi wa Kura kwenye Chaguzi za Siasa ni kuhakikisha Uwazi (Transparency) inakuwepo kwenye Mchakato mzima wa Uchaguzi, Yaani Kura zipigwe na zihesabiwe kwenye maeneo ya Wazi kabisa, Wananchi wote wanaotaka kushiriki kutazama zoezi lote la upigaji wa kura na uhesabuji wake basi waruhusiwe. Hata Waandishi wa Habari waruhusiwe kurekodi matukio yote mubashara endapo kama watapenda kufanya hivyo.
Nchi ya Afrika ya Kusini Wana utaratibu wa namna hii, ndio maana unaona ANC wanashindwa kufanya wizi wa kura nyakati za Uchaguzi wa Siasa, na hali hiyo ndio imesababisha chama hicho Cha ANC kuanguka vibaya Sana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu wa 2024.
 
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?
Dar es salaam wapiga kura wakijipanga nyuma ya mgombea msitari utafika kigoma
Unawaambia Dar wajipange nyuma Ya Samia .Huo msitari utafika kigoma

Jiji lina watu inaingia milioni 6 uwaambie wajipange nyuma ya mgombea
 
Katika demokrasia Kuna kitu kinaitwa " uchaguzi huru na WA haki " ( free and fair election)

Na katika kipengele hicho uchaguzi huru na WA haki hudhihirishwa na kura ya Siri (voting by secret ballot). Hii inampa mpiga kura kuamua yeye mwenyewe bila kushinikizwa na yeyote katika kuchagua.

Pia population ni kubwa, uchaguzi wa viongozi wa kitaifa siyo sawa na kuchagua viranja shuleni.
 
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?
🤔🤔Itakuwepo uadui wa kutisha na mauaji na chuki zisizo na msingi
 
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?
Ni ngumu kuwakusanya watu wote wakati mmoja. Ila Nape buana..
 
Back
Top Bottom