Kukomesha wizi wa kura wa NAPE, kwanini tusipige kura kwa utaratibu wa kujipanga nyuma ya mgombea

Kukomesha wizi wa kura wa NAPE, kwanini tusipige kura kwa utaratibu wa kujipanga nyuma ya mgombea

Hata mbadilishe utaratibu CCM ndio inaenda kuunda serikali 2025
Big NO! Mungu alishapanga ccm ianguke 2025 na hakuna wa kupinga. Usidhani kauli kama za akina Nepi zinakuja tu holela kama walivyozoea! Hata Farao aliwatesa Wana wa Israel kwa kukataa maagizo ya Mungu kupitia Musa. Mwisho wa yote Farao na jeshi lake waliangamia makini kwenye bahari ya Shamu na Wana wa Israel kuokolewa. Mungu atujalie uhai tuyashuhudie yote namna Tanzania itakavyokombolewa.
 
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?
Huu utaratibu utawakosa Wana CCM wasioitaka CCM
 
Huyu mgombea mtamtoa Copy ili asimame vituo vyote jimbo zima au nchi nzima?
 
Au turuhusiwe kwenda na kupiga Kura na Marungu na Mishale ili tukimuona Nape tunalala nae mbele.

Tumechoka kuibiwa tumechoka
 
Kura ni siri kati ya mpiga kura na mpigiaji kura.

Siyo lazima kura iwe ya siri. Ni utaratibu tu. Ndiyo maana bungeni huwa wanapiga kura ya wazi. UN organozations zote huwa kura za wazi.

Kwa nchi hizi zilizojaa wevi na waporaji wa uchaguzi, kura ya wazi ni nzuri zaidi.
 
Dar es salaam wapiga kura wakijipanga nyuma ya mgombea msitari utafika kigoma
Unawaambia Dar wajipange nyuma Ya Samia .Huo msitari utafika kigoma

Jiji lina watu inaingia milioni 6 uwaambie wajipange nyuma ya mgombea
Kwani Dar nzima ina kituo kimoja tu?
 
Swala ni kupiga kura kwa kuandikishwa kwa uso na fingerprint ili sura mbili zisipige kura moja .
Na system ya it isimamiwe na kampuni zenye heshima za kimataifa kwa kuchaguliwa kwa wapinzani na watawala kwa pamoja
Ni asubuhi imeisha
 
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?
Kwa mujibu wa Ile kauli ya utani, haijalishi kwenye sanduku lakura nani kashinda.Hata asiyeshinda anaweza kutangazwa muhimu tu nikuomba msamaha kwa Mungu baada ya hapo. Namaanisha hata wakijipanga nyuma ya mgombea Bado kauli yamwisho ipo kwa mwenye mamlaka yakutangaza. Ila nanyie hata utani tu mnaujadili!
 
Njia ya kuzuia wizi wa kura ni kura kupigiwa nje kwenye mahema wasimamizi wa kura wakiwa wamezungukwa na watu na kura zote kutangazwa hapo hapo kituoni.
Kuna mtu atakimbia na box la Kura
 
Kwa mujibu wa Ile kauli ya utani, haijalishi kwenye sanduku lakura nani kashinda.Hata asiyeshinda anaweza kutangazwa muhimu tu nikuomba msamaha kwa Mungu baada ya hapo. Namaanisha hata wakijipanga nyuma ya mgombea Bado kauli yamwisho ipo kwa mwenye mamlaka yakutangaza. Ila nanyie hata utani tu mnaujadili!
utani wa kutenda? wewe vipi ndugu
 
Dar es salaam wapiga kura wakijipanga nyuma ya mgombea msitari utafika kigoma
Unawaambia Dar wajipange nyuma Ya Samia .Huo msitari utafika kigoma

Jiji lina watu inaingia milioni 6 uwaambie wajipange nyuma ya mgombea
Wakikaa nyuma ya samia walahi hata viwanja viwili hawamalizi
 
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.

My concern, is that practicable?

View: https://web.facebook.com/144393622272640/videos/uchaguzi-wa-kujipanga-nyuma-ya-mgombea-uganda/2063585397020110/?paipv=0&eav=AfY-Hsj7bHt93ptByG1Cagcef6r_4eMSZAXv2B7QiaDY5O0gRYjM4J9YazvtVCDp1Yc&_rdc=1&_rdr

Mlolongo? 1988 Kenya did it. We are way better than this. Let's have a computerised system aisee.
 
Back
Top Bottom