- Thread starter
- #81
Huko ndiko watachezea wanavyotaka...easily manipulatedMlolongo? 1988 Kenya did it. We are way better than this. Let's have a computerised system aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ndiko watachezea wanavyotaka...easily manipulatedMlolongo? 1988 Kenya did it. We are way better than this. Let's have a computerised system aisee.
You will leave a electronic trail. However good you are you can not do it without leaving your footprint. Then how because manual hand counting have been manipulated since 1995.Huko ndiko watachezea wanavyotaka...easily manipulated
makes senseWazo lako siyo zuri hata kidogo, ni hatari Sana kwa usalama wa Wapiga Kura, hususani wale wanaotaka usiri kwenye Maoni yao ya kumchagua mtu wanayemtaka.
Njia pekee kabisa ya kukomesha Wizi wa Kura kwenye Chaguzi za Siasa ni kuhakikisha Uwazi (Transparency) inakuwepo kwenye Mchakato mzima wa Uchaguzi, Yaani Kura zipigwe na zihesabiwe kwenye maeneo ya Wazi kabisa, Wananchi wote wanaotaka kushiriki kutazama zoezi lote la upigaji wa kura na uhesabuji wake basi waruhusiwe. Hata Waandishi wa Habari waruhusiwe kurekodi matukio yote mubashara endapo kama watapenda kufanya hivyo.
Nchi ya Afrika ya Kusini Wana utaratibu wa namna hii, ndio maana unaona ANC wanashindwa kufanya wizi wa kura nyakati za Uchaguzi wa Siasa, na hali hiyo ndio imesababisha chama hicho Cha ANC kuanguka vibaya Sana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu wa 2024.
Hapo itakuwa wezi wameshindikana kabisa.Kuna mtu atakimbia na box la Kura
Unataka kuturudisha nyuma enzi za Moi? Moi ndiye alifanya hivi. Kweli wakenya wamapitia misukosuko mingi. Hii system ina madhara makubwa sana.hiyo tunakubaliana tunaiweka kando
Kwa teknolojia ya mawasiliano ilivyokuwa inawezekana kabisa kupiga kura eg jumamosi na usiku huo huo au kesho yake jumapili, tukawa tumejuwa matokeo ya urais ya nchi nzima.Wazo lako siyo zuri hata kidogo, ni hatari Sana kwa usalama wa Wapiga Kura, hususani wale wanaotaka usiri kwenye Maoni yao ya kumchagua mtu wanayemtaka.
Njia pekee kabisa ya kukomesha Wizi wa Kura kwenye Chaguzi za Siasa ni kuhakikisha Uwazi (Transparency) inakuwepo kwenye Mchakato mzima wa Uchaguzi, Yaani Kura zipigwe na zihesabiwe kwenye maeneo ya Wazi kabisa, Wananchi wote wanaotaka kushiriki kutazama zoezi lote la upigaji wa kura na uhesabuji wake basi waruhusiwe. Hata Waandishi wa Habari waruhusiwe kurekodi matukio yote mubashara endapo kama watapenda kufanya hivyo.
Nchi ya Afrika ya Kusini Wana utaratibu wa namna hii, ndio maana unaona ANC wanashindwa kufanya wizi wa kura nyakati za Uchaguzi wa Siasa, na hali hiyo ndio imesababisha chama hicho Cha ANC kuanguka vibaya Sana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu wa 2024.
Yes Kenye waliwahi pitia njia hii. Ipi isiyokuwa na madhara? Mpaka sasa tuko kwenye madhara ya system hii hii ya sasa.Unataka kuturudisha nyuma enzi za Moi? Moi ndiye alifanya hivi. Kweli wakenya wamapitia misukosuko mingi. Hii system ina madhara makubwa sana.
Labda ya kupigia kura kanisani, msikitini na mahekalu ya Wahindi😁Yes Kenye waliwahi pitia njia hii. Ipi isiyokuwa na madhara? Mpaka sasa tuko kwenye madhara ya system hii hii ya sasa.
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.
My concern, is that practicable?
View: https://web.facebook.com/144393622272640/videos/uchaguzi-wa-kujipanga-nyuma-ya-mgombea-uganda/2063585397020110/?paipv=0&eav=AfY-Hsj7bHt93ptByG1Cagcef6r_4eMSZAXv2B7QiaDY5O0gRYjM4J9YazvtVCDp1Yc&_rdc=1&_rdr
Madhara ya kura za siri ni ya kujitakia lakini madhara ya kuunga mlolongo ni ya lazima. 1. Mgombea anapata urahisi wa kuhonga na kuhakikisha mhongwaji amempigia kura. 2. Utaleta visasi baada ya kura. 3. Watu hawatakuwa huru kuchagua mtu wamtakaye. 4. Upigaji kura utakuwa wa vurugu na mgumu sana kwani itabidi wapigaji wakusanyike sehemu moja kwa muda uliopingwa na ukichelewa kidogo imekua kwako.Yes Kenye waliwahi pitia njia hii. Ipi isiyokuwa na madhara? Mpaka sasa tuko kwenye madhara ya system hii hii ya sasa.
uko sahihi kwa kila neno. lakini tunalinganisha pros and cons za systems mbali mbali.Madhara ya kura za siri ni ya kujitakia lakini madhara ya kuunga mlolongo ni ya lazima. 1. Mgombea anapata urahisi wa kuhonga na kuhakikisha mhongwaji amempigia kura. 2. Utaleta visasi baada ya kura. 3. Watu hawatakuwa huru kuchagua mtu wamtakaye. 4. Upigaji kura utakuwa wa vurugu na mgumu sana kwani itabidi wapigaji wakusanyike sehemu moja kwa muda uliopingwa na ukichelewa kidogo imekua kwako.
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.
My concern, is that practicable?
View: https://web.facebook.com/144393622272640/videos/uchaguzi-wa-kujipanga-nyuma-ya-mgombea-uganda/2063585397020110/?paipv=0&eav=AfY-Hsj7bHt93ptByG1Cagcef6r_4eMSZAXv2B7QiaDY5O0gRYjM4J9YazvtVCDp1Yc&_rdc=1&_rdr
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.
My concern, is that practicable?
View: https://web.facebook.com/144393622272640/videos/uchaguzi-wa-kujipanga-nyuma-ya-mgombea-uganda/2063585397020110/?paipv=0&eav=AfY-Hsj7bHt93ptByG1Cagcef6r_4eMSZAXv2B7QiaDY5O0gRYjM4J9YazvtVCDp1Yc&_rdc=1&_rdr
Hata sasaivi tunajipanga nyuma ya mgombea, hebu litazame vizuri zoezi la upigaji kura kwa makini.Dar es salaam wapiga kura wakijipanga nyuma ya mgombea msitari utafika kigoma
Unawaambia Dar wajipange nyuma Ya Samia .Huo msitari utafika kigoma
Jiji lina watu inaingia milioni 6 uwaambie wajipange nyuma ya mgombea
Kila njia ya haki hawaipendi, then what next?CCM hawakubali hili
Hiyo yote hiyo inafahamika. Utaratibu huu mpya una masharti yake ikiwa ni pamoja ni kuwa Unainyanyua juu karatasi ya kura moja mawakala wa wagombea wengine waione waione na si kutumbukiza tu wakati umeshika lundo.Ujui kura zina ibiwa namna gani na tume ya uchaguzi pamoja na ccm...icho ulicho pendekeza hakuna kitu kitasaidia...ccm na tume ya uchaguzi wana chapa kura nyingi kisha wanatia tiki kwenye kisanduku cha mgombea wao kisha wanagawia makada wa chama chao cha ccm ..kinacho fanyika kada mmoja anakuwa na kura kama 4 tayari zimesha tikiwa mtu wao anapo enda kupiga kura anachukua karatasi za kura na kutia tiki kisha kwenye kudumbukiza kwenye sanduku la kura anatoa na zile 4 alizo zificha na kutumbukiza na ile aliyo jaza mwenyewe. Hivyo ivyo ulivyo pendekeza wewe ni bure maana wana ccm watakuwa na kura feki na kutumbukia kwenye sanduku la mgombea wao