Big NO! Mungu alishapanga ccm ianguke 2025 na hakuna wa kupinga. Usidhani kauli kama za akina Nepi zinakuja tu holela kama walivyozoea! Hata Farao aliwatesa Wana wa Israel kwa kukataa maagizo ya Mungu kupitia Musa. Mwisho wa yote Farao na jeshi lake waliangamia makini kwenye bahari ya Shamu na Wana wa Israel kuokolewa. Mungu atujalie uhai tuyashuhudie yote namna Tanzania itakavyokombolewa.Hata mbadilishe utaratibu CCM ndio inaenda kuunda serikali 2025
Huu utaratibu utawakosa Wana CCM wasioitaka CCMKila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.
My concern, is that practicable?
Kura ni siri kati ya mpiga kura na mpigiaji kura.
Ni kweliSio kweli
Kwani Dar nzima ina kituo kimoja tu?Dar es salaam wapiga kura wakijipanga nyuma ya mgombea msitari utafika kigoma
Unawaambia Dar wajipange nyuma Ya Samia .Huo msitari utafika kigoma
Jiji lina watu inaingia milioni 6 uwaambie wajipange nyuma ya mgombea
Kwa mujibu wa Ile kauli ya utani, haijalishi kwenye sanduku lakura nani kashinda.Hata asiyeshinda anaweza kutangazwa muhimu tu nikuomba msamaha kwa Mungu baada ya hapo. Namaanisha hata wakijipanga nyuma ya mgombea Bado kauli yamwisho ipo kwa mwenye mamlaka yakutangaza. Ila nanyie hata utani tu mnaujadili!Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.
My concern, is that practicable?
Kwangu mimi ni utaratibu mzuriHivi kweli utaratibu huu nani aliuondoa?? Kwanza inaserve muda.
Kuna mtu atakimbia na box la KuraNjia ya kuzuia wizi wa kura ni kura kupigiwa nje kwenye mahema wasimamizi wa kura wakiwa wamezungukwa na watu na kura zote kutangazwa hapo hapo kituoni.
salt, najua huwezi kutaka maana mnaiba kuraWana ccm hatutaki hii 😹
Siri kwa wastaarabu, huku kwetu kwa manyang'au , hakuna siri.Kura ni siri kati ya mpiga kura na mpigiaji kura.
utani wa kutenda? wewe vipi nduguKwa mujibu wa Ile kauli ya utani, haijalishi kwenye sanduku lakura nani kashinda.Hata asiyeshinda anaweza kutangazwa muhimu tu nikuomba msamaha kwa Mungu baada ya hapo. Namaanisha hata wakijipanga nyuma ya mgombea Bado kauli yamwisho ipo kwa mwenye mamlaka yakutangaza. Ila nanyie hata utani tu mnaujadili!
Wakikaa nyuma ya samia walahi hata viwanja viwili hawamaliziDar es salaam wapiga kura wakijipanga nyuma ya mgombea msitari utafika kigoma
Unawaambia Dar wajipange nyuma Ya Samia .Huo msitari utafika kigoma
Jiji lina watu inaingia milioni 6 uwaambie wajipange nyuma ya mgombea
Hatuibi ila huu utaratibu hatuutaki, we piga kura kisha kakae nyumbani usubiri matokeo.....salt, najua huwezi kutaka maana mnaiba kura
https://www.facebook.com/Hatuibi ila huu utaratibu hatuutaki, we piga kura kisha kakae nyumbani usubiri matokeo.....
Mlolongo? 1988 Kenya did it. We are way better than this. Let's have a computerised system aisee.Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote kila box , one after another.
My concern, is that practicable?
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/144393622272640/videos/uchaguzi-wa-kujipanga-nyuma-ya-mgombea-uganda/2063585397020110/?paipv=0&eav=AfY-Hsj7bHt93ptByG1Cagcef6r_4eMSZAXv2B7QiaDY5O0gRYjM4J9YazvtVCDp1Yc&_rdc=1&_rdr
https://www.facebook.com/Mlolongo? 1988 Kenya did it. We are way better than this. Let's have a computerised system aisee.