Kukopa Trillion 4 ndani ya wiki 1 huku Mradi wa Bwawa la Nyerere umekwama kwa kukosa pesa si busara

Kukopa Trillion 4 ndani ya wiki 1 huku Mradi wa Bwawa la Nyerere umekwama kwa kukosa pesa si busara

Hakuna mtoa msaada atakubali upeleke hela kwenye hilo bwawa.
Wamuulize Kaleman aliwezaje kuchezesha hela za misaada na kuziingiza kwenye bwawa.
Pesa tutalipa sisi, ni kwanini tunakubali kupangiwa matumizi ya kijinga jinga?!

Mfano, Tz ina UDOM inayohitaji kuboreshwa, kwanini tujenge kwingine badala ya kuendeleza UDOM?
 
.
Walisema jiwe anakopa sana, bora yeye tuliona miradi mikubwa kadhaa.
.
Hehee...hawa wa sasa wanakopa kama wendawazimu, kila kukicha ni kutembeza bakuli. Miradi mipya mikubwa hakuna na hata iliyopo inasusua.
 
Back
Top Bottom