digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Nani kakudanganya kuwa mradi wa bwawa la Umeme umesimama? Mimi Niko eneo la mradi kwa miezi nane Sasa, mradi uko unaendelea na waajiriwa tuna lipwa mishahara Kama kawaida.Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?!
Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
Anayeeneza kukwama kwa mradi wa bwawa la Umeme taarifa anazitoa wapi!!?