Kukopa Trillion 4 ndani ya wiki 1 huku Mradi wa Bwawa la Nyerere umekwama kwa kukosa pesa si busara

Hakuna mtoa msaada atakubali upeleke hela kwenye hilo bwawa.
Wamuulize Kaleman aliwezaje kuchezesha hela za misaada na kuziingiza kwenye bwawa.
Pesa tutalipa sisi, ni kwanini tunakubali kupangiwa matumizi ya kijinga jinga?!

Mfano, Tz ina UDOM inayohitaji kuboreshwa, kwanini tujenge kwingine badala ya kuendeleza UDOM?
 
Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?!

Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
Ndo tatizo la kujiamulia mwenyewe kuanzisha mradi flani
 
.
Walisema jiwe anakopa sana, bora yeye tuliona miradi mikubwa kadhaa.
.
Hehee...hawa wa sasa wanakopa kama wendawazimu, kila kukicha ni kutembeza bakuli. Miradi mipya mikubwa hakuna na hata iliyopo inasusua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…