digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Nani kakudanganya kuwa mradi wa bwawa la Umeme umesimama? Mimi Niko eneo la mradi kwa miezi nane Sasa, mradi uko unaendelea na waajiriwa tuna lipwa mishahara Kama kawaida.Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?!
Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
Pesa zinapewa vipaumbele kwingine, halafu mradi unapokwama vinaletwa visingizo vingi, Crane ni moja wapo, maana mradi hauwezi kukamilika leo halafu tusubiri mwaka mzima ili lijae.., lilitakiwa liwe limeshaanza kujazwa, kutokujazwa kama ilivyopangwa ndio kukwama hukoMbona unajichanganya?
Lalamiko lako ni nini?
Fedha za ujenzi hakuna?
Au, maji hajajazwa kwenye bwawa?
Au, crane la tani 26 halijafika?
Au, bwawa limechelewa kukamilika?
Inaumiza mno!!!.
Walisema jiwe anakopa sana, bora yeye tuliona miradi mikubwa kadhaa.
.
Hehee...hawa wa sasa wanakopa kama wendawazimu, kila kukicha ni kutembeza bakuli. Miradi mipya mikubwa hakuna na hata iliyopo inasusua.
Mkuu Hizi taarifa Ni za uongo, unapaswa kuzipuuza!! ,Maji yapo ya kutosha!Mbona nasikia hata maji hakuna
Sio taarifa natoa wapi, hilo bwawa lilitakiwa liamze kujazwa toka November 2021, tukaambiwa hatuna crane, hadi leo Nov 2022, halijaanza kujazwa, kwanini?!Mkuu Nani kakudanganya kuwa mradi wa bwawa la Umeme umesimama? Mimi Niko eneo la mradi kwa miezi nane Sasa, mradi uko unaendelea na waajiriwa tuna lipwa mishahara Kama kawaida.
Anayeeneza kukwama kwa mradi wa bwawa la Umeme taarifa anazitoa wapi!!?
Kwanini hadi leo halijaanza kujazwa, na crame ya tani 26 ipo wapi?Mkuu Hizi taarifa Ni za uongo, unapaswa kuzipuuza!! ,Maji yapo ya kutosha!
Pesa zinakimbiloa Zanzibar, mikopo na mariba matupu, mzigo wote unabebeshwa Tanganyika
Kwanini mkuu lete reason mkuuHakuna mtoa msaada atakubali upeleke hela kwenye hilo bwawa.
Wamuulize Kaleman aliwezaje kuchezesha hela za misaada na kuziingiza kwenye bwawa.
Haya masalia yana tabu kweliMasalia ya jiwe yanaruka na kukanyagana.
Mabadiliko ya tabia nchi inamaanisha ukame na mafuriko, jielimishe kwanza ndio uropoke. Na ikitokea mvua zikanyesha, hayo maji hutaki yafue umeme?Lile bwawa ni hasara sana, Mabadiliko ya tabia ya nchi ni duniani kote, mvua zimepungua, Vyanzo vya maji vinakauka kila siku, Umeme wa gesi ni wa uhakika kuliko huo wa maji, maana mvua zisiponyesha umeme hakuna, hakuna haja ya kupeleka pesa kwenye bwawa ilihali Mabadiliko ya mazingira yanabadilika