Kukoroma Dawa yake nini? Nafikiria kumuacha mchumba wangu sababu hii

Maisha ni zaidi ya tunavyoyaona na kuyachukulia, pengine mwandishi hajui kwamba yeye pengine ni kilema,mgonjwa au mwenye matatizo mtarajiwa. Je, atajisikiaje jamii ikimtenga kutokana na hali yake?
Funny enough unaweza kuta jamaa nae anakoroma ila hajijui kama ana hilo tatizo!!!
 
Umemuoa juzi au unatumia mtandao wa tigo. Nasikia wanao tumia mtandao huu akisikia MTU kajamba anapandisha midadi.
Tanga kule wazee wanatembea na kiberiti chenye NYA Kama wanaenda kupimwa Choo vile,akisikia handasi tu anakitoa mfukoni anakifungua anakinusa mnara unasoma Basi burudani kwakeeeeeeee.
 
Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli.

Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.

Sometime naweza msemesha akajibu ila sekunde 30 nyingi anarudia kukoroma. Naombeni mnisaidie kama kuna dawa ya tatizo hili. Sababu otherwise naona itakuwa ngumu mimi kuwa nalala naye.

Maana kiukweli huwa nikishtuka nikakuta anakoroma ndo silali tena. Nakwazika,nakereka mpaka mwisho. Siwezi pata usingizi kabisa.

Je, nifanyeje? Of course ana mwili. sijui kama ni kigezo kuwa ni unene....but mbona nmesha date sana wenye maumbo namba 8 na hawakoromi? Why yeye?
TBS ya Kupenda hii hapa!
[emoji116][emoji116]
1 Wakorintho 13
4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;

5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;

6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;

7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Umemuoa juzi au unatumia mtandao wa tigo. Nasikia wanao tumia mtandao huu akisikia MTU kajamba anapandisha midadi.
Tanga kule wazee wanatembea na kiberiti chenye NYA Kama wanaenda kupimwa Choo vile,akisikia handasi tu anakitoa mfukoni anakifungua anakinusa mnara unasoma Basi burudani kwakeeeeeeee.
 
Tanga kule wazee wanatembea na kiberiti chenye NYA Kama wanaenda kupimwa Choo vile,akisikia handasi tu anakitoa mfukoni anakifungua anakinusa mnara unasoma Basi burudani kwakeeeeeeee.
Ninachojua Mimi Kuna baadhi ya watu wakisha wanawa ma barmaid huo mkono waliotumia kunawa hauoshwi. Basi msela kila akipeleka mkono puani akihisi ile harufu ya kipapa mnara unasoma.
Nikaja kugundua kumbe ndio maana watu wanapenda Sana kuwanawa ma barmaid.
 
Mie niliishi na kumpenda sana binti alikua naakoroma, alikua anajamba sana, alikua na maradhi maradhi. Sikuwahi kufikiria kumuacha. Nimekuja kumuacha kwa kuwa mchoyo wa mchezo basi!
Na ilikua pini hasa.
Nimecheka kama mazuri
 
Umemuoa juzi au unatumia mtandao wa tigo. Nasikia wanao tumia mtandao huu akisikia MTU kajamba anapandisha midadi.
Hapana ni dhana tu mkuu
Mi mwenyewe mpenzi wangu alikua anajamba sana..mwanzoni akawa anaogopa. Nikaja kumtoa wasi.
Tena alikua akitaka kujamba namuambia anitegeshee puani.
Ushuzi kunusa ni healthy, wa mwanamke.
 
Must be crazy [emoji23]
 
Mkuu kukoroma sio issue ya kutaka kumwacha mpenzi wako, nenda pharmacy kuna dawa nyingi za ku remedy tatizo hili, anapulizia kooni kabla ya kulala ,nyingi zinafanya kazi Safi kabisa
 
Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli.

Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.

Sometime naweza msemesha akajibu ila sekunde 30 nyingi anarudia kukoroma. Naombeni mnisaidie kama kuna dawa ya tatizo hili. Sababu otherwise naona itakuwa ngumu mimi kuwa nalala naye.

Maana kiukweli huwa nikishtuka nikakuta anakoroma ndo silali tena. Nakwazika,nakereka mpaka mwisho. Siwezi pata usingizi kabisa.

Je, nifanyeje? Of course ana mwili. sijui kama ni kigezo kuwa ni unene....but mbona nmesha date sana wenye maumbo namba 8 na hawakoromi? Why yeye?
Afanye mazoezi ya ulimi awe anautoa nje na kuurudisha ndani
 
Back
Top Bottom